Risasi 15 kwa sekunde 1, Bunduki hatari sana

Risasi 15 kwa sekunde 1, Bunduki hatari sana

Achana nao hao, mi mwenyewe nimeishaitumia, hiyo na uzi zinataka kufanana kitabia, sema hiyo ina mtetemo sana, kwa maana ukiitumia hiyo na ukiitumia uzi zinapishana kidogo kwenye [emoji457]
[emoji2] [emoji125]
 
Dah... Shabaha nzuri? Ulenge Shabaha mara 900 kwa dakika.... mara 15 kwa sekunde...hata malaika hawezi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
labda uelekez sehem moja tu zote 15 zipige hapohapo
 
e0682f69353201c58d35a68a7ddf076d.jpg
 
Nahitaji kama nane hivi hizo mambo...
Nina shida, pesa siyo tatizo!
 
Bunduki iliyotaka kumuua Mpelelezi wa Tume ya Dunia John Murphy Ambilikile huko Mexico City, MP5, iliyomuua Kiongozi wa CS-Copenhagen Regner Steiner Valkendorff huko San Antonio, Murphy alipokamatwa na Kolonia Santita baada ya kuiba kitabu cha siri katika makao makuu ya Kolonia Santita ya San Ángel.

MP5 (‘Maschinenpistole 5’, au ‘Machine Pistol Model 5’) ni mojawapo ya bunduki hatari zilizotengenezwa na Kiwanda cha Silaha cha Heckler & Koch GmbH cha Ujerumani; zilizotumiwa na makomandoo wa Tume ya Dunia na magaidi wa Kolonia Santita dhidi ya Kolonia Santita na dhidi ya Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya kwa mpangilio huo. MP5 ina uwezo wa kubeba kwa wakati mmoja risasi 100 katika chemba yake ya ‘century’, kupiga risasi 900 kwa dakika (kwa kutumia mkanda wa risasi), na kufyatua risasi kwa kiasi cha kuleta maafa makubwa katika umbali wa meta 200 au futi 656.

Mnamo mwaka 1980 katika Operation Nimrod ya Jeshi la Uingereza, MP5 ilijipatia umaarufu mkubwa duniani katika Ubalozi wa Irani huko Kensington jijini London; ilipotumiwa kwa mafanikio makubwa na makomandoo wa SAS, kuokoa mateka 26 dhidi ya magaidi 6 wenye msimamo mkali wa Irani, katika tukio lililoonyeshwa moja kwa moja na vituo vya televisheni.View attachment 469987
Nilipita jkt miaka hiyooooo! Nahisi kilichoandikwa ni tofauti na bunduki iliyopo na hi bunduki magazine yake haiwezi beba risasi 100 na kwa hesabu ya sekunde 1 marisasi yote hayo haingii akilini hata teknolojia I advance kiasi gani labda kwa dkk naamini hata return spring mecanizm iwe nzito kiasi gani kusukuma kokin handle kwa kasi hiyo ya sek. Sipati picha labda kila risasi iwe na balo yake na zipigwe kwa wakati mmoja
 
Ziko zingine tunazo kikosini
Labda pistol, hao America wenyewe wanasema hata kama ndio unamuua adui lakini afe kistaarabu wao pamoja na NATO yote wanatumia risasi za 5mm
Nchi nyingi ambazo wanatumia model ya ak 47 basi risasi zao ni 7.62mm
 
Back
Top Bottom