Risasi 15 kwa sekunde 1, Bunduki hatari sana

Achana nao hao, mi mwenyewe nimeishaitumia, hiyo na uzi zinataka kufanana kitabia, sema hiyo ina mtetemo sana, kwa maana ukiitumia hiyo na ukiitumia uzi zinapishana kidogo kwenye [emoji457]
[emoji2] [emoji125]
 
Dah... Shabaha nzuri? Ulenge Shabaha mara 900 kwa dakika.... mara 15 kwa sekunde...hata malaika hawezi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
labda uelekez sehem moja tu zote 15 zipige hapohapo
 
Nahitaji kama nane hivi hizo mambo...
Nina shida, pesa siyo tatizo!
 
Nilipita jkt miaka hiyooooo! Nahisi kilichoandikwa ni tofauti na bunduki iliyopo na hi bunduki magazine yake haiwezi beba risasi 100 na kwa hesabu ya sekunde 1 marisasi yote hayo haingii akilini hata teknolojia I advance kiasi gani labda kwa dkk naamini hata return spring mecanizm iwe nzito kiasi gani kusukuma kokin handle kwa kasi hiyo ya sek. Sipati picha labda kila risasi iwe na balo yake na zipigwe kwa wakati mmoja
 
Ziko zingine tunazo kikosini
Labda pistol, hao America wenyewe wanasema hata kama ndio unamuua adui lakini afe kistaarabu wao pamoja na NATO yote wanatumia risasi za 5mm
Nchi nyingi ambazo wanatumia model ya ak 47 basi risasi zao ni 7.62mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…