Risasi 15 kwa sekunde 1, Bunduki hatari sana

Zinapatikana wapi mkUu
 
HUU NI UONGO WA KIWANGO CHA ELIMU YA CHEKECHEA. SEKUNDE MOJA UNAIFAHAM WEWE?
 
Im young and im rich + im boujee

I aint stupid so i keeep a uzzi
 
Bro ujue usipanic sisi tunachouliza ni wapi? Ulipopiga hiyo mp5 na mazaga mengine isipokuwa rpg? FULL STOP
 
Nataka kitu ya sniper kama ile ya kwenye 'enemy at the gates'...au hata ile ya 'saving private ryan'..kama gobole ila mziki wake aibu
Duh jamaa ni noma wale ila nazan kuwa sniper mzuri ni lazima ujue sana hesabu
 
Kambi gani mlipewa mtumie MP5 kwenye mafunzo ya JKT?

Na pia kama hutojali naomba uniambie ulienda intake ngapi?
 
Mkuu National Service ulipigia Israel au wapi wanakotumia MP5?
Umeenda mbali sana mkuu, aseme tu ni Kambi ipi walipewa MP5 kwa ajlili ya mazoezi ya Service Man, ili hali kuna Ma_Private hadi coplo wa Jeshi wameishia isikia tu hiyo silaha

Wengine wamepata itumia baada ya kuchukulia kwenye mission za UN

Aseme hapa intake gani hiyo ambayo Jeshi liliwapelekea Vijana hao hizo silaha nzito za kivita, nje ya muongozo wa matumizi ya zana za kivita kwenye mafunzo ya VIJANA (JKT)
 
National service ya nchi gani inayotumia hiyo? mimi nadhani ulitumia AK 47.
Bado hakuna kambi ya JKT inayoruhusiwa kutumia silaha nzito za kivita kwenye mazoezi ya vijana JKT

Kule kuna baadhi ya silaha ambazo ni SMG 56, SAR 56 na LMG 56 ...na mara chache sana kama kuna upungufu wa silaha za aina hiyo basi kwenye section battle drill (kwata) mnaweza pewa G3 rifles

Sasa huyu kijana atuambie ni ghala gani ya jeshi (JKT) ina stock za MP5 kwa ajili ya mazoezi
 
Kama hajawahi shika/tumia RPG na Hand Grenade unawezaje sema alikuwa MT?

Huyu ni Muongo Cubic
 
Wenzio wana andika facts wewe bado unahisi?

JKT mlifundishwa silaha kidogo sana, hamjafundishwa juu ya uwezo wa hizi silaha kwa mapana yake

Huko JKT silaha zinatumika kwenye mafunzo hazi zidi 10 katika aina za silaha tunazo miliki kama taifa, na hata zile tunazo pata zituma kwenye mission za peace keeping
 
Nakubaliana na wewe,,, bunduki za MP5 hazipo kwenye series za bunduki za kutumia mkanda wa risasi,,,,tenyewe inatumia magazine inayobeba risasi 30,,,, na haina uwezo wa kupiga half a magazine per second
 
Sijaamua kuweka bango Niko wapi mkuu ila nna elimu ya kutosha kuhusu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…