Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Yah niemeona!! But Kelvin huwa anafikirisha zaidi tatizo pale anapotumia hata page mbili kuelezea sebule mojaKudo900 .....umeyaona maoni ya mkuu haya"""!?..Any way ngoja nitapitia vyema na riwaya za kelvin...ila kwa sasa "" Patrick ndiye anaye nikonga moyo na akili zaidi ""
Ila kiukweli huyu jamaa anajua kuliko neno kujua,japo anaboa kwa story ndefu sana so inahitaji uwe na muda wa ziada kufuatilia
Kingine sijui kwanini,wandishi wenzie hawampi sapoti kama wanavyosapotiana wao
Watu Kama
Maundu mwingizi Hussein tuwa,ibrahim gama,Fadhy mtanga,Inocent ndayance,beka mfaume,amri bawji,musa banzi nk
Yani yeye yupo kivyake tu sijui kwanini na hadi sasa hajatoa kitabu hata kimoja anauza online tu