Riwaya: Msako wa Hayawani

Riwaya: Msako wa Hayawani

SEHEMU YA THELATHINI.
Baada ya kuhakisha imefika dawa imefika kwenye 2cc mke wa Dr. Makete akastuka akaitazama kwa makini akakumba kitu kisha akamwangalia mmewe macho yakaongea..... ITAENDELEA NDOTO IKINIRUDIA TENA

Toka kabisa yaani nimejipanga kweli kweli halafu unaleta utani
 
Mimiii najuta kufatilia riwaya na stori za jf daaa... hii stori imenitesa imenipa utumwa wa kuchungulia kila siku. Leo uzalendo umenishinda naacha kuifata fata tena kwa moyo mweupeee bila kinyongo.
 
Poleni wans JF, nimeskia mleta story amefariki!
 
Kwani alikuwa team lowasa? Apumzike kwa amani ila umeenda tunakudai...
 
nae amezidi bana..watu ofisini hatuna raha kutwa kucheki MSAKO WA HAYAWANI ;R.I.P
 
Duh!mleta uzi kafariki?kifupi hadithi imefika mwisho baada ya kufika kembo alimwambia kassim wageni wako hawa na kassim akawauliza shida yao ndipo denny akamuuliza kama anamjua asha rajabu?kassim akasema hamkumbuki ndipo denny akamkumbusha kisa cha miaka 25 ilopita akamwambia ulimpa mimba.Kassim akajibu lakini nilimsaidia denny akajibu kwa kumchoma visu na kimoja kilinipata hapa akararua shati lake kufumba na kufumbua yule bepari akachomoa bastola na kurusha risasi denny akafanya kembo kama kinga na risasi zikampata kembo na kumrusha.
Dakika hiyo hiyo kassim akaruka kimanga na kukimbilia nje denny akamfuata na kukuta kaliwasha benz denny nae akawasha Bentley na kuanza kufukuzana betty akalia ili asubiriwe haikuwepo nafasi hiyo,watu wakaweka pembeni magari yao ilikuwa kama mashindano kwani madereva wote wawili walikuwa hodari yaani ikawa kama mashindano ya mjerumani na mmarekani mpaka wakafika katika mlima hatari wa kata hewa uliosifika kwa kona nyingi na madaraja membamba.
 
Back
Top Bottom