Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,585
- 1,771
- Thread starter
- #101
SIN 54
Muandishi…………………………………………….EDDAZARIA G.MSULWA(G.Authour)
Age ……………………………………………………18+
Simu………………………………………………… 0657072588(whatsapp) au 0768516188
ILIPOISHIA
“Sinto kuja kukaa na kuona familia yangu ina sambaratika kwa ajili ya malaya mmoja ambaye ki umri amenipita sijui ni miaka miwili tu. Yule Magreth unaye tembea naye ni sawa na mwanao baba, hamfikii hata kaka yanu wapili.”
Julieth alizungumza kwa msisitizo huku akilia kwa uchungu mwingi sana.
“Sasa baba ni hivi. Chukua simu yako sasa hivi na umpigie yule malaya Magreth na umueleza kwamba wewe na yeye basii. Usipo fanya hivyo ninaapa kwa Mungu, haki ya Mungu baba nitakwenda kuzitoa siri zako zote kwa kaka zangu na ukiwa mbishi wakuelewa. Nitawaambia waumini wako mauvu yako moja baada ya jengine ambayo umeyafanya ikiwemo kutumia nguvu za giza katika utumishi wako”
Julieth alizungumza huku macho yakiwa yamemtoka kwa hasira, nabii Sanga akahisi moyo wake una pasuka kwa sharti hilo alilo pewa na Julieth, mtoto anaye mpenda kuliko kitu chochote kwenye maisha yake.
ENDELEA
“Mpigie simu sasa hivi”
Julieth aliendelea kuzungumza kwa msisitizo huku akimtazama nabii Sanga. Taratibu nabii Sanga akatoa simu yake mfukoni, kabla ya kumpigia simu Magreth, Julieth akampokonya baba yake simu hiyo na kuitafuta namba ya simu ya Magreth, akafanikiwa kuipata. Hakutaka kujishauri mara mbili akampigia huku akiendelea kumtazama baba yake ambaye mapigo ya moyo yana zidi kumuenda kasi sana. Julieth akaishusha simu hiyo kutoka sikioni mwake, mara baada ya kujibiwa simu hiyo haipatikani. Julieth akajaribu kumpigia tena Magreth na kukutana na jibu hilo hilo kwamba namba hiyo anayo ipigia kwa sasa haipatikani hewani. Julieth akaingia upande wa meseji, kwa lengo la kumtumia Magreth meseji kali sana. Ila kabla hajamtumia, akaiona meseji ya baba yake ambayo alimtumia mama yake. Magreth macho yakazidi kumtoka, hasira ikazidi kutawala kifua chake kwani meseji hiyo hakika ni ya udhalilishaji na iliyo jaa vitisho vikali sana.
“Kwa hiyo una muita mama yangu. Malaya si ndio?”
Julieth alizungumza huku akimuonyesha nabii Sanga meseji hiyo. Nabii Sanga akakosa hata nguvu ya kufunua kinywa chake. Julieth akatoa simu yake mfukoni na kutazama muda ambao mama yake alimpigia na kugundua meseji hiyo ilitumwa kwenye simu ya mama yake, dakika tano kabla hajampigia.
“Sio mawazo ya mama yangu ndio yamemfanya apate ajali. Ila ni wewe ndio umesababisha mama yangu kupata ajali kwa meseji ya vitisho hii.”
Julieth aliendelea kuzungumza kwa kufoka huku uso mzima ukiwa umetawaliwa na uwekundu utokanao kwa hasira. Uzuri eneo hilo halina watu wanao pita zaidi ya manesi ambao ni mmoja mmoja sana.
“Julieth mwa…..aa”
“Niache mimi”
Magreth akanyanyuka na kuanza kuondoka huku akiwa na simu ya nabii Sanga. Nabii Sanga akatamani kumfwata kwa nyuma ila miguu yote ime kosa nguvu kabisa ya kumfwata Julieth aliye fura kwa hasira. Julieth akaingia kwenye gari alilo kuja nalo na kuanza kuangua kilio cha uchungu sana. Baba yake amekuwa chanzo kikubwa sana cha mama yake kukumbwa na mamatatizo makubwa kiasi hicho.
‘Kwa nini familia yangu ina ingia kwenye shida hizi’
Julieth alizungumza huku akiwa amejawa na hasira kali sana. Akaanza kuikagua simu ya baba yake huku akiendelea kububujikwa na machozi. Akaingia eneo la video, akakuta video mbili tu, akafungua video ya kwanza. Macho yakamtoka huku mapigo ya moyo yakianza kumuenda mbio, video hiyo ina muonyesha mama yake na Tomas wakifanya mapenzi tena ofisini kwa baba yake.
“What’s fuc**”
Julieth alishangaa sana video hiyo. Hakuwahi kumfikiria mama yake ana weza kufanya uchafu kama huyo tena kwenye ofisi ya kanisa.
“Huyu si Tomas?”
Julieth aliendelea kujiuliza maswali hayo. Akazidi kusikiliza mpango wa mama yake na Tomas wa kumteka baba yake. Jambo hilo likazidi kumuweka Julieth njia panda kwani hapo awali alihisi baba yake ndio mbaya kumbe mama mtu ndio mtu mbaya na amefanya vitu vibaya sana ambavyo ni vya aibu hata kuzungumwa kwenye jamii.
***
Hasira kali ambayo ime mtawala Magreth hakuhitaji hata hakuitaji kupatikana hewani. Akazima simu yake na kuingia chumbani kwake na kulala. Kelelee za kengele ya mlangoni, zikamstua na akakurupuka kutoka usingizi, akajifunga tenge na kutoka nje. Akafungua geti na kukutana na Juma.
“Ohoo Juma”
“Samahani nime kusumbua bossi”
“Hapana, japo nilikuwa nime lala. Ehee niambie vipi?”
“Nimekueletea pesa na zipo ndani ya gari.”
“Sawa nashukuru sana”
Juma akaingiza gari hilo ndani, akahesabu kiwango hicho cha pesa na kilipo kamilika, Magreth akatoa milioni moja na kumkabidhi.”
“Kwa ajili ya uaminifu wako”
“Ohoo nashukuru sana bosi”
“Usijali, hakikisha leo mauzo yana kwenda vizuri”
“Sawa mkuu”
“Haya siku njema, uta chukua bajaji hapo nje”
“Nashukuru sana bosi”
Juma akaondoka, Magreth akafunga vizuri geti lake na kurudi chumbani kwake na mfuko wa pesa hizo. Mawazo ya kuondoka kwa Evans nyumbani kwake hapo yakaanza kumtawala kichwani mwake.
“Huyu mjinga ame nifukuzia mwanaume wa maisha yangu. Siwezi kukubaliana na hilo. Nitamfanya jambo baya hadi yeye mwenyewe ata shangaa”
Magreth alizungumza huku akiishika simu yake. Akaiwasha na kujaribu kumtafuta Evans hewani ila hakufanikiwa kuipata simu yake.
“Evans utakuwa wapi mume wangu?”
Magreth alizungumza huku machozi yakimlenga lenga usoni mwake. Siku hiyo haikuwa nzuri kabisa kwake, hakuwa na hamu ya kufanya kitu chochote zaidi ya kulala.
***
“Ngosha”
“Niambie ndugu yangu”
“Nime ifikiria ile biashara ya wasichana nime ona ina lipa sana. Hivyo nipo tayari kuifanya?”
“Kweli kaka?”
“Kwa asilimia mia moja nipo tayari. Jambo la muhimu na kubwa sasa hivi ni kuhakikisha una nipa muongozo mzuri wa nini niweze kufanya.”
“Unajua siko uzri na soko rahisi lipo nchini Tanzania. Kama unavyo jua wadada wa kitanzania jinsi walivyo barikiwa mazaga makubwa na mola. Hivyo huko ndipo kwa kupaangalia kwa jicho la tatu”
“Ila kaka si unajua kwamba Tanzania nina matatizo mengi, itakuwa ni ngumu zana kwa mimi kuifanya hiyo biashara”
“Sawa, kesho kutwa mimi nina kwenda Tanzania, nikirudi nita kupa feedback ya kila jambo. Ila kwa sasa nahitaji kukupa usimamizi wa club yangu”
“Ila kaka hiyo biashara ya Club sija ifanya toka nime zaliwa?”
“Hata mimi sikuwahi kufanya kazi ya Club ila nilifanikiwa kufungua na ikakua na imekubwa ni club kubwa sana hapa Afrika kusini, Hivyo si kila jambo lina hitaji uingie darasani”
“Sawa kaka nime kuelewa”
“Jiandae leo jioni nika kutambulieshe kwa wafanyakazi wangu”
“Sawa sawa”
Jioni ya siku hiyo Tomas akaandaliwa suti nzuri na mke wake kisha wakaondoka nyumbani hapo na kuelekea katika Club inayo imiliki. Ngosha akawaita wafanyakazi wote ofisini kwake. Akamtambulisha Tomas na kuwaeleza ata kuwa ndio meneja msimamizi wa shuhuli zote zinazo endelea katika ukumbi huo mkubwa wa starehe. Baada ya utambulisho huo wafanyakazi wakaendelea na kazi zao.
“Unajua lengo la mimi kukuleta hapa uwe una simamia hii biashara uta weza kufahamu ni viwango gani vya wanawake ambao tuta kuwa tuna wahitaji. Pia uta tambua ni aina gani ya unga wenye thamani kubwa na una tumiwa na wataje wetu”
“Sawa sawa kaka”
“Ila kuwa makini usiendekeze ngono, kumbuka hivi sasa una mke”
“Hahaa usijali kaka. Nita hakikisha nina fanya ubunifu mkubwa na hii Club ina zidi kuwa kubwa”
“Sawa ndugu yangu”
***
Julieth hakuwa na hata hamu ya kuitazama video ya pili iliyopo katika simu ya baba yake. Taratibu akashuka kwenye gari na kurudi ndani ya hospitali hiyo. Akamkabidhi nabii Sanga simu pasipo kuzungumza kitu chochote kisha akaondoka eneo hilo. Julieth akaingia ndani ya gari na kuelekea hotelini alipo muacha Evans. Moja kwa moja akapitiliza hadi katika chumba cha Evans, akagonga kwa muda na kuingia ndani huku uso wake ukiwa umejawa na simanzi kubwa ambayo hata Evans mwenyewe aliweza kuigundua kwa haraka.
“Julieth kwema huko?”
Julieth akamtazama kwa sekunde chache Evans kisha akamkumbatia kwa nguvu huku akilia kwa uchungu sana. Hakutarajia kama mama yake ipo siku ata fanya ngono na Tomas, ambaye alikuwa na ukaribu mkubwa sana na familia yao na alikuwa akimuheshimu kama kaka yake. Mbaya sana mama yake ana fanya mapenzi kinyume na maumbilie.
“Julieth nini kina kusumbua mpenzi”
“Evans nahisi kuchanganyikiwa”
“Na nini tena”
“Sijui hata nianzie wapi. Ila hapa nilipo fikia nahitaji kuwa mbali na familia. Sihitaji kuwaona wazazi wangu”
“Kwa nini lakini Julieth ikiwa wazazi wako wana kupenda na wana kufungulia miradi mikubwa. Ehee?”
“Evans hujui tu, hujui yanayo endelea kwenye huu ulimwengu. Nakuomba sana nifanye nisahau haya yote niliyo yajua kwa leo”
Julieth akuzungumza huku akizidi kumkumbatia Evans kwa nguvu zake zote. Taratibu hisia za kimapenzi zikaanza kuutawala mwili wa Julieth, jisni chuchu zake zilivyo jibana vizuri kifuani mwa Evans, zina zidi kumfanya aanze kupata shida.
“Julieth una weza kuniambi ni nini kilicho tokea kati yako na wazazi wako?”
Evans alizungumza huku akimuachia Julieth, taratibu akafuta machozi yake huku akimtazama usoni mwake.
“Evans?”
“Naam”
“Una jisikiaje pale wazazi wako wanapo kuwa ni watenda maovu ikiwa machoni mwa watu wana onekana ni watu wema sana?”
“Mmmmm ina tegemea na mauvo yenyewe wanayo yafanya yana husiana na nini?”
“Sawa tuachane na hayo nitakuambia siku nyingine. Ila kwa sasa nahitaji unipe kitu kimoja muhimu sana kwenye maisha yangu”
“Kitu gani?”
“Nahitaji mtoto”
“MTOTO?”
“Ndio nahiyaji mtoto Evans. Nahitaji kuanzisha mji wangu”
“Unahitaji mtoto pekee kutoka kwangu?”
“Ndio”
Evans akamtazama Julieth kwa sekunde kadhaa huku akiitafakari kauli hiyo.
“Julieth, bado huja nijua mimi, pili isitoshe huja nipenda mimi na una taka mtoto kwangu. Siwezi kufanya hivyo kwa sasa”
“Evans unataka niseme kwamba unit** au? Kuwa mwanaume na uweze kuelewa hisia za mwanamke zipo wapi na zinahitaji nini. Nimetumia neno mtoto ikimaanisha kwamba nina kupenda au unataka nikutongezo alafu huko mbeleni siku ukiamua kuniacha utumie hisia zangu kama fimbo ya kunichapa mimi eheee?”
Julieth alizungumza kwa hasira kidogo hapo ndipo Evans akili yake ika funguka kwamba binti huyo ana mpenda sana.
“Nimewakataa wanaume wengi sana kwa sababu wote wana nitongoza kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Wewe nime kupenda mimi mwenyewe usinifanyie hivyo tafadhali”
Julieth alizungumza huku akianza kuvua nguo moja baada ya nyingine na akabaki kama alivyo zaliwa.
“Nina kupa usichana wangu. Usichana ambao sijawahi kumpa mtu yoyote kwenye maisha yangu, ila ni wewe pekee heshimu hisia zangu Evans”
Julieth alizungumza huku akimfwata Evans sehemu alipo simama. Akamkumbatia kwa nguvu, na taratibu Evans akaanza kunyonya lispi za Julieth na taratibu akamnyanyua na kumlaza kitandani. Evans akavua tisheti na taulo alilo jifunga kiunoni mwake. Akaitanua miguu ya Julieth ambaye amajaliwa umbo zuri huku akipewa weupe mithili ya binti wa kiarabu. Taratibu Evans akaanza kunyonya kitumbua cha Julieth ikwa ndio mara yake ya kwanza kufanyiwa hivyo na mwanaume. Julieth akajikuta akianza kusahau shida na matizo yanayo ikabili familia yake na kujikuta akizidi kujawa na furaha ya penzi la Evans.
***
Mawazo yakazidi kumtafuna nabii Sanga mara baada ya kukuta moja ya faili ambalo mwanaye ame lifungua kwenye simu yake ni faili lenye picha ya ngono ya mke wake. Jambo hili likazidi kumuweka nabii Sanga katika hali mbaya ya kimawazo. Taratibu akanyanyuka na kuingia katika chumba alicho lazwa mke wake. Akamtazama kwa muda na kujikuta machozi yakianza kumlenga lenga. Maisha ya umasikini na dhiki ambayo alikuwa ana ishi na mke wake, taratibu yalianza kumjia kichwani mwake. Akakumbuka jinsi mke wale alivyo kuwa ana pitia changamoto za kubezwa na marafiki zake ambao walimshangaa sana kuishi na mwanaume mchungaji tena kwenye kajichumba kamoja ikiwa yeye ni mzuri na wana ume wenye pesa zao wana mtamani kila kukicha.
Akazidi kukumbuaka jinsi mke wake alivyo jawa na msimamo wa kuhakikisha kwamba hatoki nje ya ndoa yake.
‘Nisamehe mke wangu’
Nabii Sanga alizungumza kimoyo moyo huku akimwagikwa na machozi usoni mwake. Taratibu akapiga magoti pembeni ya kitanda hicho, akamshika mke wake kiganja cha mkono wa kulia na akaanza kuomba huku akilia kwa uchungu sana. Gafla hali ya mrs Sanga ikaanza kubadilika, akaanza kurusha rusha miguu yake mithili ya mtu anaye kata roho, ulimi wake ukaanza kutoka nje huku macho yakipepesaka na kitu kilicho zidi kumchanganya nabii Sanga ni mashine ya kuhesabu mapigo ya moyo iliavyo anza kutoa mlio wa hatari huku asilimia za mapigo ya moyo zikianza kushuka chini kwa kasi sana ikiashiria kwamba mrs Sanga ana fariki dunia.
ITAENDELEA
Haya sasa hali ya mrs Sanga ina imebadilika na ana elekea kukata roho je ni nini ambacho nabii Sanga ata kifanya? Endelea kufwatilia kisa hichi cha kusisimua, usikose sehemu ya 55.