Riwaya ya kipelelezi: Wakala wa Siri

Tulikuwa tunafanya promo tu wakuu, kwahiyo subirini kitabu mwezi huu wa kumi ili uwezo kuisoma story yote hadi mwisho
Ahsante
 
Waandishi wengi wa stori zinazotumwa humu ni makanjanja sana,hamkuombwa kuleta hadithi zenu hapa mwisho wa siku mnakuwa wababaishaji,hata kama hatuchangii gharama ila hatutakiwi kuwabembeleza saaaaaaana hivi mnajikuta akina nani vile eti?
Kwanza hadithi zenyewe za uwongo mtupu!!!!
Mnakera bhana.
Muwe mnasema kuna hadithi inakuja ila ni demo tu,haitoisha ili msomaji aamue kuangalia hiyo trela au laaaah,wengi tungechagua laaaah,acheni zenu bhana
 

Mwanaume kukereka na vitu vidogo ni Dalili ya ushoga.

Hapo ulipaswa uombe mrejesho,
Na Kama ungekuwa mwanaume mwenye akili timamu ungepiga simu kuweka Oda ya kitabu.

Lakini Kwa vile unapenda vya bure matokeo yake ndio haya.
 
Mwanaume kukereka na vitu vidogo ni Dalili ya ushoga.

Hapo ulipaswa uombe mrejesho,
Na Kama ungekuwa mwanaume mwenye akili timamu ungepiga simu kuweka Oda ya kitabu.

Lakini Kwa vile unapenda vya bure matokeo yake ndio haya.
Uliombwa utuletee hadithi yako hapa?
Hadithi yenyewe imejaa uwongo mtupu?
Siku unajipendekeza kuleta hako ka riwaya kako kuna mtu alikupigia simu?
Ungemsimulia mkeo tungekuuliza?
Eti mwanajeshi anakwepa risasi,uwongo mtupu,adamoo kakamatwa ka mwalimu wa shule ya msingi mbona.
 
Jinsi mnavyowaelezea makomandoo wenu kwenye hizo hadithi zenu na hali halisi ni fix tupu,nyie ndo mnawaaminisha watu kuwa komandoo anapiga kijiji kizima wakimchangania.!!!
Huku akina Kingai wanawadaka makomandoo kwenye vibanda vya chips haaaaa haaa haaaa
 
Ila hii story inabidi usome ile story inayopewa promotion ya risasi harusini vina mahusiano kabisa
 


πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Huyo sio Adamoo

Unazingua ujue,
Wewe ulitaka niandike ule ugoro wako unauvuta??
 
Reactions: y-n


Muache Adamoo wawatu bhana!!

Amekukosea nini??

Wewe subiri nikuletee Stori ya bure hapa uisome na ugoro wako mdomoni.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Huyo sio Adamoo

Unazingua ujue,
Wewe ulitaka niandike ule ugoro wako unauvuta??
Adamoo wamemkamatia kwenye banda la chipsi kavu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…