Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Bila kuchanganya!K vant,black and white au konyag?
Umeanza gongagonga nyagi unajiona umekua, umeanza nyonyanyonya bangi kunyonga hujajua.tena nawaambieni tu ikiwa mtu alipangiwa kuwa tajiri atakuwa tu, sio mpaka aajiriwe, na sidhani kama kuna tajiri alie ajiriwa , matajiri wengi ni wajasiriamali, poleni utumishi na poleni tamisemi, mimi nipo hai tena mwenye afya njema ninakula ninachokitaka, ninavaa ninachokipenda, kama mlitegemea haya maisha yatanifirimba, basi kwa taarifa yenu mimi ndie ninae yafirimba, siku mkinikamata mnipe kesi ya uhujumu uchumi