Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Tena nawaambieni tu ikiwa mtu alipangiwa kuwa tajiri atakuwa tu, sio mpaka aajiriwe, na sidhani kama kuna tajiri alieajiriwa, matajiri wengi ni wajasiriamali, poleni utumishi na poleni tamisemi, mimi nipo hai tena mwenye afya njema ninakula ninachokitaka, ninavaa ninachokipenda.
Kama mlitegemea haya maisha yatanifirimba, basi kwa taarifa yenu mimi ndie ninae yafirimba, siku mkinikamata mnipe kesi ya uhujumu uchumi
Kama mlitegemea haya maisha yatanifirimba, basi kwa taarifa yenu mimi ndie ninae yafirimba, siku mkinikamata mnipe kesi ya uhujumu uchumi