Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.

Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke.

Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.

Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.

Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.

Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye.

Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.

Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi.

Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.

Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Ooh! Sasa nahitaji MKE wakuoa ili tusaidiane Maisha. Hakuna aliyekukataza kuoa, Ola elewa kuwa Kuoa Mwanamke materialist(mwenye tamaa ya vitu kama Pesa/Mali, magari) huyo hamsaidizani Maisha huyo anakudidimiza.

Ooh! Sasa Nani atanipikia, naoa ili anipikie. Acha ujinga.

Hizo Pesa ulizompangia nyumba nzima au unayomlipia Kodi ilhali wewe bado unajitafuta ni Bora ununue Pressure Cooker ya Tsh 150,000/= au Majiko ya oven Yale yenye kupikia hapohapo.

Kisha nunua Mashine ya kufulia ya laki tano(Tsh 500,000/=) Nunua na Zile Mashine za kuwatishia nyumba ni laki tatu tu.

Huna haja ya kusema Nani atanifulia, kwani kazi za Mashine ni nini boya wewe. Ni kweli huwezi kutengeneza wala kubuni Mashine. Basi hata kununua zile za bei chee ushindwe?

Penda Kula, hiyo Pesa unayofanywa Msukule nazo na Wanawake watakaokupa Ukimwi na UTI ni Bora ununulie Nyama au pombe alafu Asubuhi umeweka Bill ya maziwa Lita moja. Fanya kazi Kula bata.

Mbona Vijana mnapesa hata kama ni ndogondogo lakini mnaweza Kula Maisha ni vile mnaendekeza upumbavu na uzuzu alafu mnataka Taikon niwachekee na kuwaambia Kwa upole. Mimi sipo hivyo, hata mnichukie au hao Wanawake Materialists wanachukie huwaga Mimi sio MTU wa kujali majitu mazuzu

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
 
Ushauri huo chukuenj Adam aliendeleza mwanamke akaanguka, Samsoni aliendekeza mwanamke akaanguka uhalisia haufi hata wewe bwana mdogo ukiendekeza wanawake utaanguka na ukianguka unaachwa kama kawaida, jijenge mwenyewe kama mnavoshauriwa, panga familia yako na mtu sahihi na usiwe mtumwa utaumia, mkisikia wanapigania haki sawa mnakenua meno huku inakula kwenu, utadaka stress then utakufa ghafla hakikisha unailinda amani yako hakuna atakaekupa furaha isipokua wewe mwenyewe, Taikon kamaliza kila kitu,
 
Naomba niongezee kitu

Kwa vijana ambao bado unajitafuta na mambo yameanza kuwa poa,inabidi uwe mkali kweli kwa hawa viumbe maana unaweza ukawapuuzia lakini wengine wakajileta kwako kwa nguvu,nakuambia mtu akitaka kukung'ang'ania kama ruba fanya namna yoyote ile ukitupe nje,ukiwa na huruma tu utakuwa umeharibu kila kitu

Usizingatie sana yale maneno eti ukiwa mke na mtoto ndo unafanikiwa huo sio ukweli,zaidi na zaidi ukiwa na hao watu mapema kabla ya malengo yako kutimia lazima utadondoka au utachelewa kutoboa
 
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!

Anaandika Robert Heriel
Kuhani.

Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40.

Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe.

Ninapenda kuwausia Vijana Kwa sababu wengi Zama hizi kuna mafunzo hamkuyapata Kutokana na sababu mbalimbali. Mojawapo kutokulelewa na Wazazi Wawili.

Elewa kuwa Wanawake hawatakuzingatia na watakupuuza kama huna lolote la maana.
Nataka nikuambie kuwa Wanawake ambao ndio Mama zetu, Dada zetu, shangazi zetu na wake zetu ndio viumbe ambavyo ni Materialists kuliko kiumbe chochote hapa Duniani.

Usifanye vitu kuwa- impress Wanawake. Yaani usitafute kupendwa na Wanawake. Elewa kuwa Wanawake hawanaga kitu inaitwa upendo wa kweli. Wanaupendo lakini sio Ile upendo halisi.

Kama hujaoa, kamwe usipoteze nguvu zako Ati kuhonga ili upendwe na Mwanamke. Utakwama! Ni uzuzu na upumbavu kufanya vitu ili uwa-impress kina Dada.
Vijana wengi WA Zama hizi wanaumizwa na mapenzi Kwa sababu ya ujingaujinga. Eleweni kuwa Wanawake waliowengi wanatamaa(Materialists) utakufa siku sio zako.

Roadmap ya mwaka 2023 ni kuishi Maisha yako Kwa furaha. Bila kutaka kujipendekeza Kwa Watoto wakike.
Kadiri unavyokuwa huna habari nao hawa Wanawake ndivyo unavyokuwa bize na Maendeleo yako. Kadiri unavyojishughulisha nao ndivyo unavyopoteza Focus ya Maisha.

Wanawake wengi Kwa sehemu kubwa ni chombo cha starehe hata kama wapo wanaobisha lakini huo ndio ukweli wenyewe. Iwe ni Kwa wazungu au wachina. Ipo hivyo.

Ukitaka kufanikiwa na kuwa na Utulivu wa Akili na Maisha usiwaendekeze Wanawake. Usipende kuwasikiliza wanataka nini au wanataka uweje.
Usipende wakusifie, Wanawake hawanaga Tabia ya kusifia wao hupenda kusifiwa tuu, ukiona mwanamke anakusifia ujue kuna kitu anapata Kutoka Kwako.
Mwanamke hawezi kukusifia hivihivi.

Roadmap ya Mwaka huu ni kutokuwa mtumwa wa kuwatumikia Watu ambao ni Materialists, yaani bila Pesa huwezi kuishi Naye. Mwanamke WA hivyo fukuza. Usipomfukuza ukiwa na nguvu watakufukuza wewe Kwa kusaidizana na watoto wake siku utakapokuwa Mzee usiye na nguvu.

Wanaume mliondoani, msiwaendekeze Wake zenu, mtakufa siku si zenu kisa ujinga. Anataka kwenda kwao kisa mambo yenu magumu, hakuna cha kumbembeleza mwambie Aende. Mpe msimamo kuwa ukiondoka kinaingia Chuma kingine. Akileta maneno ya kashfa mpuuze.

Sijakataza kuhonga, nimekataza MTU kuhonga ili ati apendwe. Huo ni uzuzu. Upendo haununuliwi.
Pesa zako hazikufanyi upendwe, ila zinakufanya uonekane mtumwa wa Wanawake, msukule, mgodi au shamba la Bibi.

Huwaga nashauri, kama Mwanamke anahitaji umpe Pesa ndio mahusiano ya-exist ni Bora ukanunua Makahaba ya bei za rejareja kwani utatumia siku ukilihitaji.

Lakini sio ujibebeshe zigo la misumari Kwa ujinga,
Nataka nikuambie kuwa Kabla hujamweka Mwanamke ndani unayemhonga ili uwe kwenye mahusiano naye, elewa kuwa sio kila Siku utafanya naye Mapenzi. Ndani ya siku 30 tuu utakuwa ushamchoka, na katika hizo siku 30 ninauhakika hautafanya kila Siku.
Hivyo kuingia kwenye relationship na Mwanamke WA namna hiyo ni kujigeuza Msukule Mbele ya Kigagula.

Unataka Watoto wazuri, nenda Casino, nenda club chagua mtoto mkali mlipie siku tatu, kisha mkiachana endelea na Maisha mengine. Fanya Maisha yako.

Waza kujenga nchi, sio kuwaza Wanawake kama lijinga jinga.
Hakuna ujana mwingine zaidi ya huo ulionao, kijana mdogo miaka 30 alafu unateswa kwa upuuzi upuuzi!

Roadmap ya Mwaka huu ni Kupiga Pesa, Kula bata upendavyo, Maisha ni leo tuu.

Kumbuka; Wakati wewe unawazingatia wanawake, wao hawakuzingatii wewe isipokuwa vitu ilivyo navyo. AMKA!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam.
Kuwaambia waache ni kama kuligeuza Jua lichomozee Magharibi
 
Sasa kuhani hapo si inamaana tupuuziane? Kama wao wanatupuuzia nasie tukiwapuuzia si Kwisha kazi?

Nikajua unasema tuachane nao kabisa, nilipoona tu kazini, lipia siku tatu, nikajua tayari. Hawa watu hauwezi kuwapuuzia Taikon, sema jitahidi mambo Yao yasikuendeshe ukashindwa kufanya maisha.

Yaani purukashi zao ndio zinatengeneza kitu kinaitwa Dunia, kama sio wao unatafuta pesa zanini Sasa?
 
20230101_101102.jpg

Huu mwaka ni kujipanga tu lolote laweza kutokea..Mapenzi ni sumu kama .
 
Back
Top Bottom