johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!