johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #141
Tanzania mlevi ni mmoja tu kutoka machame.Hapana nazungumzia mlevi wewe unayeweka mabandiko yako ya kilevi humu nani anakulipa kwa upuuzi huu? Usikwepe swali na kuingiza mada ambayo haiko mezani.
Kalewa hadi kaporwa wabunge wote mmebakia viazi mbatata watupu hapo bandani Ufipa!