Robert Amsterdam analipwa na nani kuwatetea Tundu Lissu na CHADEMA?

Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.

Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?

Tanzania kama taifa tuwe makini.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani nawe zombi walipwa na nani kuwatetea MATAGA?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yaani ndani ya nchi Lissu chali. Anataka umaarufu nje ya nchi ili atawazwe kuwa rais wa nchi hii? Labda Mungu wa Mbinguni aende likizo. Less than that Lissu ataishia majanga tuuu. Ila muacheni huyu Lissu ajifariji.
Rudi tena shule aisee, ubongo wako bado umejaa kamasi kama zote!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huo umaarufu wa Lissu uko kwa kina nyumbu labda na huyo Amsterdam anayekula pesa ya Lissu kiulaini kabisa na siku hao wafadhili wa Lissu wakitambua umbumbu wa Lissu kuwa pesa yake inaliwa kiulaini kiasi kile hata wewe nyumbu utarudi kwenye akili yako
Naona akili yako imekaa kimataga mataga,unachojua ni kumsifu na kumwabudu mungu mtu wenu jiwe,huna unachokijua zaidi ya kujaza tumbo tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Siku zote mtu asiyejitambua akikosa hoja huporomosha matusi. Jitahidi uanze kujitambua wewe
Sijakutukana Mkuu,ila nimekwambia ukweli vile akili yako imekaa.Sema kwa vile hujitambui ndio maana unahisi nimekutukana lkn siku ukija kujijua kuwa akili yako ilikuwa matope utanishukuru Sana.
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa bondeni, sasa akawa anamwita, anamwambia mwenzake aliyekuwa juu mlimani: Aiseee! Panda, panda huku haraka! Panda huku! Njoo, niko huku juu mlimani kabisa! Unanionaaaaaaa!????
 
Pole sana mno tena sana. Endelea kujifariji ila kama ni ajira shikamana nayo ili wewe na familia mpate cha kujikimu japo ni ajira inayokaribia utumwa
 
Sasa mimi nijifariji kwa lipi?,km ni shida zilizosababishwa na Serikali hii nimeshazizoea.Sasa kipi Cha kunitisha?.Jifariji wewe unayeabudu binadamu mwenzako maana kula yako inategemea huruma ya mtu wakati mimi namtegemea Mungu aishiye milele yote.
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa bondeni, sasa akawa anamwita, anamwambia mwenzake aliyekuwa juu mlimani: Aiseee! Panda, panda huku haraka! Panda huku! Njoo, niko huku juu mlimani kabisa! Unanionaaaaaaa!????
Kafumbo kako nimekaelewa sana tu.
 
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.

Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?

Tanzania kama taifa tuwe makini.

Maendeleo hayana vyama!
Mnadanganywa mchana mnakubali. Hakuna cha kesi wala mtoto au mjukuu wake kesi achilia mbali baba au babu yake kesi.
 
Ni mapato ya ndani.....
Deni la taifa 2015 20trllion..
Deni la taifa hapa kazi tu 54trillion.

Haya ndio mambo ya maana ya kujadili sio huo ufala
 
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.

Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?

Tanzania kama taifa tuwe makini.

Maendeleo hayana vyama!
Wewe unalipwa na nani kukesha humu kujaza post zako za kilevi?
 
Hahahaaaa....... Mlevi ni yule aliyeanguka kwenye ngazi baada ya kutoka Chako ni Chako!
Hapana nazungumzia mlevi wewe unayeweka mabandiko yako ya kilevi humu nani anakulipa kwa upuuzi huu? Usikwepe swali na kuingiza mada ambayo haiko mezani.
 
Back
Top Bottom