Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa sababu Ccm mnafanya vitu kwa kuangalia matumbo yenu mnafikiri kila mtu yupo hivyoHypothesis iko hivi:
Lissu angechaguliwa kuwa rais > serikali yake ingeweka rehani natural resources zetu ili kupata mikopo ya shughuli za maendeleo > negotiator wa kuingia hiyo mikataba ya mikopo angekuwa mwanasheria wa rais lissu > hapo ndipo Amsterdam angepata commission zake.
Sasa kwa kuwa la urais limeenda arijojo, sina uhakika analipwa na nani. Labda anafanya kwa matumaini ya 'uchaguzi kurudiwa' na 'mtu wake' (deeper meaning) ashinde ili mambo yajipe!