Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
JiweKwani majeshi ya Burundi walilipwa na nani walipokuja kufanya mauaji huko Zanzibar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JiweKwani majeshi ya Burundi walilipwa na nani walipokuja kufanya mauaji huko Zanzibar?
Dikteta mkuuAna huruma ipi?...kwa nini analizimisha kuongoza watu ambao hawakumpa kura yeye na wabunge wake?
Sio kila mtu hutaka Malipo kwa kila jambo analomfanyia mtu mwingine,watu wengine hawapendi tu kuona watu wengine wakionewaNijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!
Nasikitika Tz inatengeza viazi wachache Kama nyieKuinua watanzania ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kuwainua watanzania ni kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani?
Hahahaaaa...... Umeshafura bwashee!Baba ako
Kama weweHahahaaaa...... Umeshafura bwashee!
Umesha maliza kumtukana kaka Bujibuji?Bujibuji ww Ni kiaz kweli
Ukombozi gani ww unataka
Hili taifa wapuuz tulipa nchi ndio maana Hadi leo waTz masikini
Leo amekuja mtu kuinua waTz watu wajinga Kama bujibuji wanapinga ...
Fala kabisa ww bujibuji na wananchi
JIBU la hilo swali lipo CHADEMA kwa viongozi wenu ambao wanajua pesa walizomlipa aliye mfanya kitu mbaya "MURA", I think you know what I mean!? Na alyempiga Lissu hizo risasi 16 zandege. Wanajua sana, tusihangaishane humu JF.Bujibuji and Co
Kwani mliwalipa shilingi ngapi waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi?
Ukombozi umekaribia
We mwehu kweli na uwezo wako mdogo wa kufikiri...kwakua hukumpa wewe unadhan kila MTU....kwanini usiandamane..au kamsemee kwa AmsterdamAna huruma ipi?...kwa nini analizimisha kuongoza watu ambao hawakumpa kura yeye na wabunge wake?
Muuliza swali, anauliza kwa nia jema tu ya kutaka kupata kaelimu kadogo juu ya suala hili, lakini wewe unamjibu kwa ghadhabu na jazba, SIYO SAWA! Mjibuni tu kama mnamjua amlipaye BOB!Hata kama halipwi au analipwa wewe inakuuma nini? Lissu alisema ni wakili wake binafsi, makubaliano yao ya malipo unataka kuyajua?? Mpigie Lissu akuambie anamlipa sh ngapi, sisi hayatuhusu.
OK, hao hao watagharamia kesi ya RAPale Segerea Chadema walikwama so Dr Mashinji alitolewa na Polepole wa CCM na Freeman Mbowe alitolewa na fedha za familia ya mchungaji Msigwa akiwemo Rais Magufuli!
Atalipwa kwa kufyonza dharabu miaka 50 tax freeHata kama halipwi au analipwa wewe inakuuma nini? Lissu alisema ni wakili wake binafsi, makubaliano yao ya malipo unataka kuyajua?? Mpigie Lissu akuambie anamlipa sh ngapi, sisi hayatuhusu.
Wana chama chao mashoga wanalipana humo.Hata kama halipwi au analipwa wewe inakuuma nini? Lissu alisema ni wakili wake binafsi, makubaliano yao ya malipo unataka kuyajua?? Mpigie Lissu akuambie anamlipa sh ngapi, sisi hayatuhusu.
Wanachangisha pesa kupitia taasisi yao ya ushoga na kile chama kina pesa nyingi ndio maana hujiulizi Lissu anapata wapi mahitaji Yake wakati Hana kazi kule ughaibuni na anakula, analala, anasafiri kwenda mataifa mbalimbali na bado yeye na beberu lake Amsterdam wanahangaika na ICC kupeleka mashtaka.Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni.
Je, ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lissu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae?
Tanzania kama taifa tuwe makini.
Maendeleo hayana vyama!