Ungekuwa na capacity kubwa ya uchambuzi ungejitahidi kutuambia:-
(i). Gharama kiasi gani cha fedha huyo Robert Amstadam amelipwa au aina ya mkataba wa malipo kwa CDM na TL - hapo tungelinganisha figure na kuzichambua ili kuona km zinalipika au la? Sasa kama ni kubwa hapo msingi wa swali lako ungekuwa na uzito wa dhahabu!
(ii). Ungechambua uwezo wa kifedha wa CDM na TL ili tufahamu kwamba taasisi hiyo ihawezi kumudu gharama za uwakili;
(iii). Ungetuambia kwa kutuaminisha kuwa CDM na TL hawana marafiki, jamii za kitaifa na kimataifa za kuwawezesha kugharamia shughuli za uwakili wa RA - lkn mwisho jiulize kipindi Halima Mdee, Msigwa, Mbowe nk wamehukumiwa kifungo au kulipa faini za mamilioni ya fedha - walipata wapi fedha hizo?
Epuka njaa ya akili plz - aiache ibaki tumboni ili ukinywa uji iondoke yenyewe