johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lissu ni Rais wa Tanzania.Ni michango ya kimya kimya kutoka kwa wananchi milioni 7.5 waliompa kura mh Tundu Lissu!
View attachment 1628943
Tundu Lissu alishambulia na magenge ya chadema humo humo kwenu. Kama unabisha jaribu kutaja jina la dereva wake uone jinsi wanavyopanic.Bujibuji and Co
Kwani mliwalipa shilingi ngapi waliomshambulia Tundu Lissu kwa risasi?
Ukombozi umekaribia
Kilaza wa Lumumba hawezi elewa chochote huyuTafuta maana ya neno “Pro-bono”
Hivi bado tu mnaweweseka kama Donald Trump? Imeisha hiyoooooooooooooooooooooooNi michango ya kimya kimya kutoka kwa wananchi milioni 7.5 waliompa kura mh Tundu Lissu!
View attachment 1628943
Kibano kitakapoanza ni equalizer!!Hivi bado tu mnaweweseka kama Donald Trump? Imeisha hiyoo
Nijuavyo Chadema chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni. Je ni nani hasa anayemlipa Robert kwa niaba ya Tundu Lisu na atafaidikaje na ufadhili huo siku za baadae? Tanzania kama taifa tuwe makini. Maendeleo hayana vyama!
Yaani ndani ya nchi Lissu chali. Anataka umaarufu nje ya nchi ili atawazwe kuwa rais wa nchi hii? Labda Mungu wa Mbinguni aende likizo. Less than that Lissu ataishia majanga tuuu. Ila muacheni huyu Lissu ajifariji.Hata kama halipwi au analipwa wewe inakuuma nini??? Lissu alisema ni wakili wake binafsi, makubaliano yao ya malipo unataka kuyajua?? Mpigie Lissu akuambie anamlipa sh ngapi, sisi hayatuhusu.