Robert Amsterdam analipwa na nani kuwatetea Tundu Lissu na CHADEMA?

Hapana nazungumzia mlevi wewe unayeweka mabandiko yako ya kilevi humu nani anakulipa kwa upuuzi huu? Usikwepe swali na kuingiza mada ambayo haiko mezani.
Tanzania mlevi ni mmoja tu kutoka machame.

Kalewa hadi kaporwa wabunge wote mmebakia viazi mbatata watupu hapo bandani Ufipa!
 
Tanzania mlevi ni mmoja tu kutoka machame.

Kalewa hadi kaporwa wabunge wote mmebakia viazi mbatata watupu hapo bandani Ufipa!
Naona unazidi kudhihirisha ulevi wako wa wanzuki,.wewe nani anakulipa kubwabwaja hapa jukwaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…