Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Fedha wewe zinakuhusu nini??? Shughulikia kulipa fedha za watu Euro Mil 27. Mambo ya Amsterdam hayakuhusuHakuna aliyekukataza kumtumia Muzungu au yoyote yule maadamu una fedha za kumlipa, huo ni uamuzi wenu, lkn fedha zetu za ruzuku sasa Mbowe, Tundu &Co. la kihalifu hawapati hata shilingi ngoja tuone wataende mbali kiasi gani na hizi drama bila ya hela, ...
hayupo kama yeye mpe na "tigo" yako aijazee vochaaa mkuuAsante sana rafiki yetu mpendwa mzungu, Bob Amsterdam.
Nani kama wewe baba?
Na jua pia icc sio mahakama yenu ya kukusanya mapato KisutuHamna kitu hapo.
Na icc siyo kikundi cha bavicha
Nilisha sema ,dam changa sio za mchezo,Kuna kombination naiona hapa sio ya dunia, mnaweza shangaa kesi hii ikaenda kwa speed ya ajabu, watu wapo na neno moja Mara Armsterdam ana lolote,Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Nakwambiaje kuna list ya Icc iyo inakuja. Lazima uite Maji mmaaaaaaKwisha enzi zenu.
Hamna Mu Afrika anaeweza kumtumia Mzungu kwa manufaa ya Mwafrika na kinyume chake.. Mnapoteza muda tu.It's a trade off.
CCM waache kutumia polisi na sisi wananchi tutaacha kuwatumia wazungu.
As simple as freaking that!
Endelea kujitoa ufahamu wakati boa’s wako saivi mavi yanagonga pichu
Lisu ni debe tupuNilisha sema ,dam changa sio za mchezo,Kuna kombination naiona hapa sio ya dunia, mnaweza shangaa kesi hii ikaenda kwa speed ya ajabu, watu wapo na neno moja Mara Armsterdam ana lolote,
Ila lissu alipenda tumia neno moja subutu ,na nilisha sema lissu anajua anachofanya ,
Nyuma ya hili naona yataibuliwa mengi, ya nyuma na ya uchaguzi huu,so jipangen kuliko kubeza
Binti, sasa mbona unajiita Alex?!!!Wanawake tupo acha ujinga
Naona mnazidi kukimbizana na wakati!! Poleni sana jiandaeni tu, ICC ndo iyo. Yaaani mjadiliwe vile na kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU alafu ICC wawaache????? Safari hii lazima muite Maji mmaaaaaa!!!!
Go Amsterdam!!
Hata tulipokuwa tunawambia Amsterdam atasababisha Lisu apate chini ya 20% ulikuwa unakuja na maneno NI YEYE.Naona mnazidi kukimbizana na wakati!! Poleni sana jiandaeni tu, ICC ndo iyo. Yaaani mjadiliwe vile na kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU alafu ICC wawaache????? Safari hii lazima muite Maji mmaaaaaa!!!!
Go Amsterdam!!
Nakwambiaje iyo list ya icc inayokuja, lazima uite Maji mmaaaaa!!!Hata tulipokuwa tunawambia Amsterdam atasababisha Lisu apate chini ya 20% ulikuwa unakuja na maneno NI YEYE.
haya yuko wapi sasa? Anakula baga kwa beberu wake.
Kwani nyie wakati mnawaua wenzetu, mnawateka na kuwafungulia mashtaka ya kubumba na kuiba uchaguzi kwa nini hamkuwaza kuwa mnawafanyia hayo watanzania wenzenu.Una andika kama vile Sio mtaanzania hivi man roho gan nyie ? ?
Yani Mtu mwenye utimamu wa akili anaweza kushadadia sanctions kweli kwa Nchi yake ? ? Tuambie Serikali hii imekugusa wapi haswaa kiasi cha kutaka kurudisha nyuma maendeleo nchi yako yatako kuathiri wewe na wenzio
Tunajua hamna uzalendo Lakini hata akili mkuu pia hamtumii ? ?
Jitafakarini upya
Na kutakuchwa salama salmin 😊Kumekucha
Huijui Tanzania vzr unaonekana ni mtoto wa 90s,Nakwambiaje iyo list ya icc inayokuja, lazima uite Maji mmaaaaa!!!
Nadhani wewe ndo uijui vizuri ICCHuijui Tanzania vzr unaonekana ni mtoto wa 90s,
He ,mkuu kitisho Cha kwenye sim ndo kikoje hicho, acha kubeza mkuu dam changa Zina mitandao sio ya dunia hii , mwafaaLisu ni debe tupu
Hana jipya. Kakimbia kitisho cha kwenye simu
Safari hii mashoga wenu watakaa chiniNadhani wewe ndo uijui vizuri ICC
Sasa ndo utaona nani atakaa chini.Safari hii mashoga wenu watakaa chini
Utanielewa pundeSasa ndo utaona nani atakaa chini.