Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Hakuna aliyekukataza kumtumia Muzungu au yoyote yule maadamu una fedha za kumlipa, huo ni uamuzi wenu, lkn fedha zetu za ruzuku sasa Mbowe, Tundu &Co. la kihalifu hawapati hata shilingi ngoja tuone wataende mbali kiasi gani na hizi drama bila ya hela, ...
Fedha wewe zinakuhusu nini??? Shughulikia kulipa fedha za watu Euro Mil 27. Mambo ya Amsterdam hayakuhusu
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Nilisha sema ,dam changa sio za mchezo,Kuna kombination naiona hapa sio ya dunia, mnaweza shangaa kesi hii ikaenda kwa speed ya ajabu, watu wapo na neno moja Mara Armsterdam ana lolote,
Ila lissu alipenda tumia neno moja subutu ,na nilisha sema lissu anajua anachofanya ,
Nyuma ya hili naona yataibuliwa mengi, ya nyuma na ya uchaguzi huu,so jipangen kuliko kubeza
 
Endelea kujitoa ufahamu wakati boa’s wako saivi mavi yanagonga pichu

Aingii akilini ya mtu mzima kwa lugha uliyotumia hapo juu. Ni dhahiri wewe ni nani na ndiyo maana unashabikia mambo ya udaku. Kama hujajiriwa tafuta hata kibarua kwenye shughuli za ujenzi utumike kama karai
 
Nilisha sema ,dam changa sio za mchezo,Kuna kombination naiona hapa sio ya dunia, mnaweza shangaa kesi hii ikaenda kwa speed ya ajabu, watu wapo na neno moja Mara Armsterdam ana lolote,
Ila lissu alipenda tumia neno moja subutu ,na nilisha sema lissu anajua anachofanya ,
Nyuma ya hili naona yataibuliwa mengi, ya nyuma na ya uchaguzi huu,so jipangen kuliko kubeza
Lisu ni debe tupu

Hana jipya. Kakimbia kitisho cha kwenye simu
 
Naona mnazidi kukimbizana na wakati!! Poleni sana jiandaeni tu, ICC ndo iyo. Yaaani mjadiliwe vile na kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU alafu ICC wawaache????? Safari hii lazima muite Maji mmaaaaaa!!!!

Go Amsterdam!!

Una andika kama vile Sio mtaanzania hivi man roho gan nyie ? ?
Yani Mtu mwenye utimamu wa akili anaweza kushadadia sanctions kweli kwa Nchi yake ? ? Tuambie Serikali hii imekugusa wapi haswaa kiasi cha kutaka kurudisha nyuma maendeleo nchi yako yatako kuathiri wewe na wenzio

Tunajua hamna uzalendo Lakini hata akili mkuu pia hamtumii ? ?

Jitafakarini upya
 
Hata tulipokuwa tunawambia Amsterdam atasababisha Lisu apate chini ya 20% ulikuwa unakuja na maneno NI YEYE.

haya yuko wapi sasa? Anakula baga kwa beberu wake.
 
Una andika kama vile Sio mtaanzania hivi man roho gan nyie ? ?
Yani Mtu mwenye utimamu wa akili anaweza kushadadia sanctions kweli kwa Nchi yake ? ? Tuambie Serikali hii imekugusa wapi haswaa kiasi cha kutaka kurudisha nyuma maendeleo nchi yako yatako kuathiri wewe na wenzio

Tunajua hamna uzalendo Lakini hata akili mkuu pia hamtumii ? ?

Jitafakarini upya
Kwani nyie wakati mnawaua wenzetu, mnawateka na kuwafungulia mashtaka ya kubumba na kuiba uchaguzi kwa nini hamkuwaza kuwa mnawafanyia hayo watanzania wenzenu.

Malipo ni hapa hapa duniani. Jiandaeni na hili la ICC sasa.
 
Back
Top Bottom