Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Fedha wewe zinakuhusu nini??? Shughulikia kulipa fedha za watu Euro Mil 27. Mambo ya Amsterdam hayakuhusuHakuna aliyekukataza kumtumia Muzungu au yoyote yule maadamu una fedha za kumlipa, huo ni uamuzi wenu, lkn fedha zetu za ruzuku sasa Mbowe, Tundu &Co. la kihalifu hawapati hata shilingi ngoja tuone wataende mbali kiasi gani na hizi drama bila ya hela, ...