Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Mungu Mbariki Wakili Msomi Robert Amsterdam
 
Mkuu, I neither buy nor backup your animosity approach plunging the nation to abyss and doomsday
It is high time now individuals of your kind who are touting curse against Tanzania and its lovely citizens are blacklisted as saboteurs with malicious intent as opposed to being defenders of human rights and unknown democracy practice.

It is sufficient to have heard much on the clustered nuisance complaints which are ideally personal being exagerated to affect teh majority for no apparent and justifiable reasons. #DefendTanzaniaAgainstMercenariesthroughTraitors
 
Huyu Mzungu yeye ananufaika vipi na hizi kesi? Ni kwamba anatuonea huruma Watanzania!? Au ana Agenda yake ya siri?

Mkuu kawaulize wakristo, mbona hata wao walikombolewa na mzungu aitwae Yesu? Je huyo Yesu alikuwa na agenda ya siri zaidi ya kuwakomboa wanaoteswa?
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
haya siyo mambo ya kushabikia kabisa, sanctions mara nyingi inaumiza raia wala siyo hao watawala. Wapinzani watafute namna mbadala ya kupambania demokrasia na siyo kutegemea vitisho vya sanctions
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Wanahangaika sana ao. Tuwaache tuendelee kujenga ichi yetu sisi. Vita ya kiuchumi ni ngumu sana
 
Mkuu, I neither buy nor backup your animosity approach plunging the nation to abyss and doomsday
It is high time now individuals of your kind who are touting curse against Tanzania and its lovely citizens are blacklisted as saboteurs with malicious intent as opposed to being defenders of human rights and unknown democracy practice.

It is sufficient to have heard much on the clustered nuisance complaints which are ideally personal being exagerated to affect teh majority for no apparent and justifiable reasons. #DefendTanzaniaAgainstMercenariesthroughTraitors
Icc list is on its way!! Stay tuned
 
Kwa akili zako unadhani anafungua mashtaka???😂😂😂

Aisee Mbona Lumumba ni vilaza sana??
Ufipa waongo Sana soma title ya mada hapa uone namna mnavyopotosha uma.

Waongo wakubwa.
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kwendraaaa
 
Mmeshindwa kupambania freedom hapa Tanzania kwa maandamano aliyoitisha Lissu wenu ,mkamsaliti !.Leo hii mnaona wazungu wakombozi wenu! Mpo kama Nyumbu hivi! Mnashindwa kujisaidia Alafu mnataka msaidiwe,!.
Mzungu hajawahi kumpenda au kuipenda Africa kutoka moyoni. Lazima ujiulize mara mbili mbili. Strings attached hapo. Aids with conditions. Siyo bure, tena mbaya zaidi. History keeps repeating it self, kama Thomas Sankara
 
Back
Top Bottom