Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Icc list is on its way!! Stay tunedUtanielewa punde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Icc list is on its way!! Stay tunedUtanielewa punde
Mungu Mbariki Wakili Msomi Robert AmsterdamBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Mzungu mwenye Upendo wa AgapeHuyu mzungu kwa kweli amekuwa ni ndugu yetu kabisa.
Ametufanya tumpende bure yaani!
Mmeshindwa kupambania freedom hapa Tanzania kwa maandamano aliyoitisha Lissu wenu ,mkamsaliti !.Leo hii mnaona wazungu wakombozi wenu! Mpo kama Nyumbu hivi! Mnashindwa kujisaidia Alafu mnataka msaidiwe,!.
Mkuu, I neither buy nor backup your animosity approach plunging the nation to abyss and doomsdayBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Duu! Kumbe wewe ni K halafu unajipachika jina la Me, umemdhalilisha sana mama yako!Unatoa 017? Wanawake tupo acha ujinga
Huyu Mzungu yeye ananufaika vipi na hizi kesi? Ni kwamba anatuonea huruma Watanzania!? Au ana Agenda yake ya siri?
haya siyo mambo ya kushabikia kabisa, sanctions mara nyingi inaumiza raia wala siyo hao watawala. Wapinzani watafute namna mbadala ya kupambania demokrasia na siyo kutegemea vitisho vya sanctionsBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Wanahangaika sana ao. Tuwaache tuendelee kujenga ichi yetu sisi. Vita ya kiuchumi ni ngumu sanaBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kwa nini asipelekwe? Mbona marais wengi tu wamepelekww? Kwa kuwa anawatisha ninyi unadhani hata ICC anaitisha?Utatia huruma sana ! Yaani umekaa kabisa kwa akili zako Unadhani Rais atapelekwa ICC ! Utasubiri sana! .
Kwa akili zako unadhani anafungua mashtaka???😂😂😂Huo ni uongo mtu binafsi hawezi fungua mashtaka ICC.
Icc list is on its way!! Stay tunedMkuu, I neither buy nor backup your animosity approach plunging the nation to abyss and doomsday
It is high time now individuals of your kind who are touting curse against Tanzania and its lovely citizens are blacklisted as saboteurs with malicious intent as opposed to being defenders of human rights and unknown democracy practice.
It is sufficient to have heard much on the clustered nuisance complaints which are ideally personal being exagerated to affect teh majority for no apparent and justifiable reasons. #DefendTanzaniaAgainstMercenariesthroughTraitors
Ufipa waongo Sana soma title ya mada hapa uone namna mnavyopotosha uma.Kwa akili zako unadhani anafungua mashtaka???😂😂😂
Aisee Mbona Lumumba ni vilaza sana??
Icc yanapelekwa malalamiko na maombi kuwa waingilie kati kuchunguza na kuwawajibisha wahusika. Hayapelekwi mashtakaUfipa waongo Sana soma title ya mada hapa uone namna mnavyopotosha uma.
Waongo wakubwa.
Eti kila siku hayo hayo wafungue tujue moja hawajiamini ndo mana wanatishia tishiaKuna watu wanalazimisha kubakia relevant, si mfungue tu sasa kuna haja gani ya kututangazia kila siku ?
KwendraaaaBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Mzungu hajawahi kumpenda au kuipenda Africa kutoka moyoni. Lazima ujiulize mara mbili mbili. Strings attached hapo. Aids with conditions. Siyo bure, tena mbaya zaidi. History keeps repeating it self, kama Thomas SankaraMmeshindwa kupambania freedom hapa Tanzania kwa maandamano aliyoitisha Lissu wenu ,mkamsaliti !.Leo hii mnaona wazungu wakombozi wenu! Mpo kama Nyumbu hivi! Mnashindwa kujisaidia Alafu mnataka msaidiwe,!.