Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Hao achana nao; wao hawatakaa waelewe hesabu za siasa za Dkt. Bashiru na Mwenyekiti. Nadhanu wangojee mpasuko wa Sisiemu ili wamnunue mgombea mwingine. Safari hizi ile 2025 nasikia wanataka waende na Shangazi maana kathubutu huko Twita na FB
 
Wameshindwa matajiri wa Barrick ataweza huyo mpumbavu Amsterdam!!.

Hawa jamaa hawataki kubadili aina yao ya kuitazama Tanzania ya JPM na wataendelea kuteseka mawazoni mwao.
 
Good tufungiwe misaada yote na wahisani
Mkifungiwa mtakosa hadi condom na dawa hospitali na shangazi zenu huko vijijini ndio watakuwa waathirika wakubwa

Hawa wadeal na individuals tu. Wakiweza wazifreeze assets zao walizoficha huko nje.
 
Good tufungiwe misaada yote na wahisani

hahahaa, ivi mfano tukifungiwa misaaada yote na wahisani unadhan nan atapata shida? magufuli ama wewe pisi kali? hata hao wateja watakukimba, alafu mm nawashangaa nyie wanawake wa chadema! Tanzania ni sovereign state, haifanyiwi decisions na nchi zingine zozote it makes its own decision
 
Fitina kwangu mwisho. PM anatabasamu, wewe unamuugulia? Jipangeni kukijenga chama chenu aiseee! Mr Hai asiwe chair
 
Ndoto za mwenda wazimu tu; kujadiliwa ni kitu kimoja, matokeo ya kujadiliwa ni kitu kingine kabisa.
 
Botha alikua sahihi kabisa,ni vile tu tunajifanya hatukubali alichokisema lkn moyoni tunakubali ni kweli.
Wezi kweli kweli na wanashinda kuficha pesa ulaya, kujenga mahekalu ulaya then wakifa wanazikwa afrika,wanatibiwa ulaya badala ya kujenga hospital bora afrika ( always african leaders die in foreign country hospital),wako radhi kuwatesa wananchi kwa ufukara. Hakuna mtawala wa kiafrica asiye nuka damu sijui Wana Siri gani upenda Sana kuwatoa kafara watu. Undugu, ukabila, ukanda, ubinafsi, kujitukuza. Afrika pekee ndo unawezapata case study za effect of bad leadership. Trump alisema hawana akili utasema vipi huna akili Hali wananchi wako ni fukara huku umekalia raslimali.

HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP SEPTEMBER 2018 JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI?
Haya ni mambo yaliyonukuliwa katika hotuba ya Raisi Trump akiongelea bara la Afrika. Naomba usome na utoe maoni yako. Akiwa anawasuta viongozi wa Afrika, Trump anahoji kwamba:
  • lkiwa sasa imefika miaka 50 ya uhuru na bado viongozi wengi wa Afrika wameshindwa kuwa na miundo mbinu thatbiti kwa ajili ya watu wao, je hao viongozi ni binadamu kweli?
  • Anaendelea kusema kuwa ikiwa ninyi viongozi mnakalia dhahabu, almasi, mafuta na uranium na watu wenu wanakosa chakula, je ninyi viongozi wa afrika ni watu kweli?
  • Kama mnakaa kwenye madaraka na kununua silaha kutoka kwa wageni na kuua watu wenu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Kama mnawaza kukaa madarakani mpaka mwisho wa maisha yetu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Ikiwa mnatumia maliasili ya nchi zenu kwa maendeleo ya familia zenu, je ninyi ni watu kweli?
  • lwapo hamjali kuweka miundo mbinu ya afya za watu wenu na badala yake mkiugua mnaenda kutibiwa nchi za nje, Je ninyi ni binadanu kweli?
  • Mtaheshimikaje katika mataifa yenu wakati mnapiga risasi raia wenu kama vile ni mchezo?
*Amemalizia kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika wataendelea kuwa kama wanyama hadi watakapo badili mtazamo wao na kuheshimu watu wanaowaongoza.
 
Kidogo umepunguza mihemko ila bado,ukitulia zaidi unaweza kuandika hoja vizuri tu mjadala ukaendelea!
Hakuna haja ya kutukanana au kutoleana lugha kali kwa mambo ya siasa hapa jukwaani!
Una hoja unaiweka mezani,mambo ya kutukana wengine na kuwaita mashoga au wapumbav nk hayana maana!Mtu hawi shoga au mpumbav kwa kinywa chako!
 
Eti kukesha mtandaoni wewe upo wapi hapa subiri ukishajifungua akili zitakuwa sawa
 
Hukumwelewa; Trump alikuwa anamzungunzia kibaraka wenu huyu Mr Mzungu aliyetoroka baada ya kushindwa vibaya uchaguzi
 
While Chinese are doing business in Africa including Tanzania European Union is doing politics!!!

That is why it is no wonder to find Chinese products in every home in Africa but you can`t find European products in many homes in Africa!!!
 
Nyie ni mashoga!

Wewe endelea kukatikia uno kwny v8 la harakaharaka,siku puru litakapokulegea atachukua brand New arse kutoka hapo UVCCM,muda huo utakua umeenda kufikia huko porini kwenu.

Mashoga nyinyi.
Na utapanic sana! Huyo Amsterdam lazima aje awabebe wote mkakae kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…