Mnaenda wapi? BRICS?Awali ya yote, kwa shingo upande, nakubaliana na Stardam.
Hiyo haina maana namshobokea huyu beberu.
Hatahivyo...
Tanzania ijiondoe tu kutoka hii Jumuiya ya Madola.
Wanaofaidika na Jumuiya hii ya Madola ni Familia ya Mfalme wa Uingereza.
Mwacheni aturahisishie mchakato wa kujiondoa Commonwealth, where the wealth is so uncommon.
Ngoja nirudi kwenye Interview.
Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspended their individual reasoning because of flattering or working in favour of group objective and hypocrite, well defined as kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data🙏
Would love to hear to hear your opinion on the matter.
Let’s not keep entertaining the culture of fear based on certain people social status.
Watu wa hovyo ni hovyo tu.
🤭😂😂😂😂😂🔥Mnaenda wapi? BRICS?
Embu jiulize sasa tutajadili nini na mimi nikikujibu kwa lugha mbofu.Ila unaweza kuvumilia mabwana zako wanaoingia mikataba ya kuuza utu wetu na rasilmali zetu.
Jinga wewe
Wakati mwingine mnastahili..Ndio!!Embu jiulize sasa tutajadili nini na mimi nikikujibu kwa lugha mbofu.
Nikosoe kwa mtazamo wako wa hoja nikujibu kwa hoja zangu kwanini nafikiria kwa nilivyoandika.
Unajua watu wengine kutukana mnatulazimisha tu kutokana na majibu yenu. Lakini sio tabia zetu kabisa.
I can’t place exactly where you want to justify ‘herding’ in this discussion.Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspended their individual reasoning because of flattering or working in favour of group objective and hypocrite, well defined as kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data
Mwandishi uchwara huyo Dr Nhigula kabla kuuliza alitakiwa asome vizuri hiyo kesi badala tu ya kubeba mihemko ya Lisu ya kukomalia Tigo isiyokuwemo kwenye hiyo kesiHuyo Dr Nhigula, amekazana na TIGO kila saa, Amsterdam kila saa anamkumbusha kesi ni ya Millicom.
Human herding in politicsI can’t place exactly where you want to justify ‘herding’ in this discussion.
Herding in psychological sense fits in several social situations to name a few in trading, culture thinking, religion, etc (we don’t have to go there to justify my point).
Let’s adhere to the topic of this thread, which is about ‘Amsterdam’ contribution on the recent Millicom Employment Tribunal its implication to our current politics
Defeat occured before of self submissionTają swali ambalo unadhani lina merit na kuonyeshe uzushi ulipo. Otherwise siwezi ongea kwa upande mmoja based on simple requirements as that.
Mmekamatwa pabaya mnakurupuka bila kujisetiri mpaka aibu.Mwandishi uchwara huyo Dr Nhigula kabla kuuliza alitakiwa asome vizuri hiyo kesi badala tu ya kubeba mihemko ya Lisu ya kukomalia Tigo isiyokuwemo kwenye hiyo kesi
On Tundu Lissu appointing Robert Amsterdam as his attorney🅻🅸🆅🅴 : Robert Amsterdam | Live Coverage with Political Advocacy and International Lawyer
View: https://m.youtube.com/watch?v=FI2RG25sVzk
Patrick Nhigula host of America Swahili News in depth conversation with his guest Robert Amsterdam who is an Advocacy and International Lawyer @ 29 September 2024
Covering :
- On Tundu Lissu appointing Robert Amsterdam as his attorney
- Court hearing in London, which depicts that the Tanzanian govt was involved in state sponsored unlawful activities
- Unsolved 2017 assassination attempt
- We expect the Tanzanian govt will take a proper action following the new information coming from London
- The Samia Suluhu Hassan administration
- The cancer of impunity in Tanzania
- Violence against political opponents, the recent killing of Ali Mohamed Kibao a senior CHADEMA party official
- Commonwealth should expel Tanzania membership
- International community should get involved closely with what is happening in Tanzania political space
- Breach of Harare agreement
- Reconciliation, Reforms, Resilience and Rebuilding under abbreviations the 4R are a camouflage
- One party dominance
- Coming local elections 2024 and the General election 2025
- Etc
Sasa kiongozi uoni kama ni tatizo.Wakati mwingine mnastahili..Ndio!!
Kwa mtu msomi, unaexperience na exposure kama wewe
huwezi ukatetea mambo yanayofanywa na viongozi wetu. Ni BIG NO! Zaidi utakuwa mmoja wao unaenjoy maovu.
Kuna gape kubwa sana kati ya watawalaliwa na watawala ambao wamejiona Miungu watu, hawapendi kukosolewa, kupingwa na kushauriwa.
Tuna amani ya kitumwa( woga) na sio ya uhuru binafsi. Tunaamuliwa kila kitu tena kwa kutishiwa.
Nchi hii ukijitanabaisha wewe ni mpinzani tayali umekuwa adui kila baya ni wewe. Uliona wapi mkuu?
Tanzania wajinga ni wengi hata waliosoma ni wajinga kupitiliza.. huwezi kutetea mfumo wetu chini ya CCM kama unaakili timamu.
He need special oilAtulize mshono huyo Shoga nae,
😂😂😂 Salaleh, kiongozi mama kakukera hadi kada kama wewe kuniwekq huko.Defeat occured before of self submission
Hapo hujui hata moja, wewe na Mafwele tofauti yenu ni majina tu
Una roho ya uuwaji.(ingekuwa, mimi ni gęga ya kiłę kiłę alichofanya Magufuli).
Nchi haiwezi vumilia watu wa aina yake.
EX-GOVERNMENT OF THAT TIME, UNDER LATE JPM.On Tundu Lissu appointing Robert Amsterdam as his attorney
Court hearing in London, which depicts that the Tanzanian govt was involved in state sponsored unlawful activities
Unsolved 2017 assassination attempt
Natakiwa nijibu nini hapo In justification “mimi ni muuaji’ au ‘hoja yako ya mama’.Una roho ya uuwaji.
Hiki kimama kilisema kinaifungua nchi, lakini badala yake kimejifunua.
sawaSasa kiongozi uoni kama ni tatizo.
Maana una akili ambayo imeshaamua wapinzani wanaonewa bila ya kutaka kupima merit ya arguments who is right or wrong,
Hapo unanutuhumu kwa makosa ambayo sistahili.
Unapomsoma mtu sio lazima ukubaliane nae, Iła mpinge kwa hoja kwanini hayuko sahihi.
Walau huo ndio mwanzo, ukiona jitu lenyewe alielekei kwa merit (na wewe kama kweli upo analytical) kwenye arguments zake. Baada ya hapo kulibeza haki yako.
Sasa kunishutumu mimi ni shaabiki maandazi bila kuonyesha mapungufu yangu ya hoja kwa mtazamo wako uoni huko ni uwanja wa watu wasio na uwezo.
Hoja za siasa hazina mjuzi, zina merit tu; na muungwana anakubali. Na wakati mwingine kukubaliana kuwa amto kubaliana kutokana na mitazamo yenu. Hakuna sababu ya kutukanana na mkitoka hapo sijui Iła kwa upande wangu nakua nimejufunzq kitu.
Unaishi kwa bahati mbaya sana hapa duniani!Natakiwa nijibu nini hapo In justification “mimi ni muuaji’ au ‘hoja yako ya mama’.
Mimi sifichi na wala sioni aibu kusema kwa kanuni za kuendesha nchi, sio kwa kupenda Iła kwa uchokozi wa Lissu kipinde kiłę ningeamuru achwapwe risasi. That’s just how nations are managed.