Robert Amsterdam | Live Coverage with Political Advocacy and International Lawyer

Salute mingi sana Mkuu
 
Mungu Wabariki Wazungu
 
Unaishi kwa bahati mbaya sana hapa duniani!
mwisho wa watu kama wewe kuishi ulikuwa karne ya 12! kwa sasa unavuta hii hewa bure tu!
Zaidi ya kunikejeli na kuniombea mabaya umesikiliza hiyo interview.

Ungekuwa na hoja ya kujibiwa kutokana na nilichoandika maana nimeokota points zangu kwenye hiyo interview exchange.

Sasa kunilaani tu, nje ya nilichoandika na kuonyesha makosa yangu yalipo huo ni uonevu.

Kwa utaratibu huo hata nikifika huko nakotakiwa kujibu laana zako nitamwambia wahusika laana za huyu jamaa ni uzushi mtupu, hata hakutaka kukosoa hoja zangu zaidi ya kunilaani ndio maana leo nipo mbele yenu.

Good morning 👋
 

Shida ya andiko lako, umekuwa emotional na kuhukumu ukiwa umejiwekea upande.

1: Robert A. anazungumza vyema kuwa kutokana na taarifa mpya, wataipatia serikali ya Tanzania nafasi ya kufanyia kazi tatizo husika kabla hawajaendelea mbele. Hii ni kutokana na serikali kuwa haijafanya chochote kwa jambo husika.

Wewe unasema ilikuwa ni sawa kufanya kile kilichofanyika.
A: Hapa unamjibia nani kulingana na tatizo?
B: Kwa katiba ipi unasema ni sawa kufanyika?
C: Sheria ipi inakupa hiyo haki wewe? Maana hata serikali haijasema chochote.
D: Hata kama mambo haya hufanyika, je hutawajibika unapogundulika?
E: Unazo huzo sababu ambazo zinakupelekea kutenda jambo husika dhidi ya katiba? Unaweza kujitetea nazo?

2: Kuna matatizo ya kiuongozi kwa nchi zote duniani ila za kiafrika hali ni ngumu zaidi jinsi zinavyohusiana na wapinzani wa serikali.
A: Je hili lipo au halipo?
B: Je tiba ni kuumiza/kuua?

3: Maendeleo:
A: Je spidi ya maendeleo vs matumizi ya serikali zetu na matumizi ya maliasili vinaridhisha?
B: Vinaendana na hali halisi?
C: Huna cha kuhoji?

4: Kuhusu nani ashitakiwe:
Millicom vs Tigo vs Serikali
Millicom wanasema ni suala la debate ngumu, kulingana na taarifa yao.
A: Sisi ni nani ambao tunasema 123? B:Serikali iko kimya, Robert naye anasema bado hawezi kusema hakika.
C:Sisi tunafikiaje hapa kwako kumnyooshe kidole Robert A au Lisu?
D: Je suala hili halikutokea?
 
Haya tueleze hayo makinikia mmepata hela kiasi gani?hivi kuna wanaosaliti hili taifa zaidi ya waliopewa mamlaka yakulinda nakutetea rasilimali zetu?
 
Kwenu kwenyewe kuna mashoga kibao na unaishi nao

Ova
Kama urangini kwenu wanawake wanavyotoa tundu huzuni, mama yako nimemla kiboga jana Kondoa, nilimkosa kosa baba yako maana alikuwa analiwa na jamaa yangu
 
Kama urangini kwenu wanawake wanavyotoa tundu huzuni, mama yako nimemla kiboga jana Kondoa, nilimkosa kosa baba yako maana alikuwa analiwa na jamaa yangu
😄 ushapanik umeingia kwenye mfumo 😄

Ova
 
Ndugu baada ya kupata extract za kesi husika Amsterdam ni interpreter tu kama wewe wa kilichopo.

Ndio maana aliekuwa anamuuliza maswali alikuwa anatumia porojo za press conference ya Lissu.

Lakini Amsterdam akawa mkweli kisheria hawana jurisdiction ya kesi wala international law argument mpaka sasa zaidi ya kutumia Common wealth ‘Harare treaty’ ukiisoma treaty yenyewe even on scanning utaona anaongea wazimu tu yaani nchi isolated kwa sababu ya Lissu.

Hayo mengine kasome kesi nakala zipo JF achana na porojo za vitu ambavyo havipo kwa kusikiliza hadithi za Lissu.

Ata huyo Amsterdam kwenye interview yake ajataja TiGo pamoja na kutajiwa mara kadhaa yeye akawa anasema millicom.

Mnatabia ya kujiaminisha vitu ambavyo havipo sio kwa bahati mbaya, Iła kwa kuaminishwa na watu mano waamini.

80% ya maudhui ya Lissu ni ujinga mtupu, ata ukisilikizq hiyo interview ya Amsterdam he can’t back up Lissu claims; ambazo unataka ujibiwe. But then ni mambo ambayo nishayaeleza kwenye mada nyingine (.mambo ye kufirika tu kwenye kichwa cha Lissu).
 
Una uhakika na usemacho baba?
Weka akiba ya maneno ndugu kwani kuna kesho
 
Una uhakika na usemacho baba?
Weka akiba ya maneno ndugu kwani kuna kesho
Sikiliza interview uone hata huyo mwanasheria wake ambavyo hawezi ku-commit kwenye maswali anayoulizwa kutokana press conference ya Lissu.

Mambo mengine yanahitaji foundation level tu ya sheria, kuelewa hayawezekani. Shida yenu kuamini kila anachosema Lissu. Na ndiyo kilichompoza baada ya kuombwa aache yeye hakutaka kuelewa somo.
 
Wewe hata humugopi Mungu, unadhani utaishi milele na hi roho kutu unaweza kutangulia kabla yake kama alivyotangilia unayemshabikia. Yaani tukitofautiana hoja dawa ni kuuwana ndio unaona sawa bora umejificha aibu kwako.
 
Wewe hata humugopi Mungu, unadhani utaishi milele na hi roho kutu unaweza kutangulia kabla yake kama alivyotangilia unayemshabikia. Yaani tukitofautiana hoja dawa ni kuuwana ndio unaona sawa bora umejificha aibu kwako.
Kuna mipaka hata huyo unaesema nina mshabikia (japo nilikuwa na kubali sana) mara kadhaa nimesema. Imani yake haikuwa sababu ya kuzuia chanjo kwa wengine, kama safari yake ni kumtoa ili watanzania wapate chanjo. Ata mimi ningekuwa na mamlaka ningehalisha.

You can’t be emotional katika kuongoza nchi, hawa wenzetu hawqjaendelea kwa kubenbekezana
 

Unaendelea ku-attack watu si issue, wao wanawajibu wa kwenda mbele ya sheria na kujenga hoja zao. Sisi tujadili muktadha wa yaliyotokea kwa kurejea maswali niliyokuuliza kwa kutokana na hoja yako ya mwanzo.
Basi sema:
1: Jaribio la mauaji lilikuwepo au halikuwepo?
2: Nani ashitakiwe?
3: Nani ana haki ya kuua waziwazi?
4: Aliyejaribiwa kuuwawa ana haki ya kutafuta haki yake?
5: Je tumchagulie mtu wa kumwakilisha mahakamani?
6: Tumchagulie wapi pa kufungua kesi?
 
mnatwanga maji kwenu kinu
 
Tanzania is a failed f*ucken state
 
Duh...!.
P
Mkuu Paskal hivi unaelewa maana ya kusema TO END ONE PARTY DOMINANCE? Kwangu this is undemocratic because this is through the election- it can not be granted rather it is achieved. I see he is talking about redistribution jambo amabalo hata UN kwenyewe haliwezekani acha kufikirika. Wale members wenye VETO wagawane ni Burudi? Huyo mzungu ni mgonjwa
 
Wewe kwa akili yako unaweza kuiondoa serikali ya Tanzania kwa kwenda UN? COMMONWEALTH? AU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…