Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

Ni bahati mbaya kwamba pesa ya vitambulisho vya machinga ndiyo hizi zinatumika kujaza michumia tumbo humu kwenye mitandao ya jamii kuandika utumbo na kuutetea kipropaganda.
Mtu mwenye akili timamu anaona mambo mengi ya hovyo tangu uhuru 1961 mpaka leo 2020. Kama hakuna maendeleo kwa kipindi chote leo unakuja na gia tuchague tulete maendeleo, mambo yalishabadilika, hatudanganyiki tena.
 
Lissu kichwa chake kimeathiriwa na yaliyomkuta 2017.
Afrika ya kusini kabla ya Corona ilikuwa juu sana kiuchumi lakini sasa inapitia wakati mgumu sana baada ya lockdown ya zaidi ya miezi sita.

Nigeria wapo juu kutuzidi kiuchumi, lakini lockdown imeuumiza sana uchumi wao.

Mpaka leo sehemu kubwa ya dunia watu wanavaa masks miezi kumi tangu ugonjwa uanze kusimbua watu.

Halafu Lissu analeta kejeli wakati pote anapofanyia kampeni watu wanaomsikiliza hawajavaa masks.
 
Imeisha hiyooooo
 
Nyie waislam wa ponda mpo wangapi?
Wafuasi wa Ponda wanahesabika kwa wale msiowajua wafuasi wake ni baadhi wale ambao huwahi kufunga na kufungua mwezi wa Ramadhani kama LIsu anavyomwangalia mzungu Amsterdam hao akina Ponda na wafuasi wao kuandama kwa mwezi hutegemea mwezi unaoonekana uarabuni sio Tanzania tofauti na waislamu wenzao!!!
Hawako wengi kwa dar Idd huwa wanapenda kuswali Mwembeyanga zamani walikuwa wakiswali Jangwani

Kwao mwandamo wa mwezi wa uarabuni ni Superior kuliko mwandamo wa mwezi wa Tanzania kama ambavyo Lisu anaamini kwenye uchaguzi huu mzungu wake shoga Amsterdam ni Superior kuliko sisi wapiga kura wote mamilioni watanzania

October 28 Lisu na AMSTERDAM wake watatukoma watu wa Dar tunampiga chini huyu mgombea wake mbelgiji Lisu
 
Ukitaka ujue wako wangapi wanaomsikiliza shekhe Ponda, Muulize mwana ccm mwenzako ustadhi Pohamba usione baraza zima labakwata linakuja kumpinga mtu mmoja tu ambae nishekhe Ponda. Wanajua shekhe Ponda ni nani, ananguvu gani.
 
Unafikri kila mtu anakipwa?

Mimi sijulikani na yeyote pale ccm. Ila niko hapa kukwambia ukweli kwamba watz hawako tayari kuwapa kina Amsterdam nchi yao.
 
Mkuu,, lisu anategemea washauri wajinga kama nyie katika harakati zake za kwenda ikulu. Ni kama ilivyokuwa kwa Membe.

Lisu hajui siasa ni mwanaharakati ndio maana kupanda jukwani na watu kama kina Ponda anafikri itamsaidia kwenda ikulu bila kujua kama anajiharibia.
 
Una mfano wowote wapi hiyo imetokea
Yani ni nchi gani ktk afrika hilo limefanyika? Ndiyo maana mzee lowassa alisema elimu elimu elimu
Ndio maana wengi tunashangaa haijawahi kutokea Afrika hii ila ni kwa Lisu tu. Ndio maana wenye akili wamempuuza
 
Kwa hiyo Magufuli akipanda Jukwaani na Alhadi ndo kujua siasa au vipi?

Leo Magufuli yuko na Sheikh Mkuu eti anazindua Msikiti alioujenga huko Dodoma, hapo wewe unaona huko ndo kujua siasa au vipi?

Sheikh Ponda ana audience ya kila muislamu anayeiangalia BAKWATA kwa jicho la wasiwasi, kwa hiyo ana chance kubwa ya ushawishi kwao kunpigia kura Lissu

Kama siyo Ponda kuingia camp ya Lissu machinery ya BAKWATA ingemsumbua sana Lissu kwenye kura za waislamu, maana BAKWATA walianza kumpigia kampeni Magufuli waziwazi na viongozi wengine wa dini pia.

Lissu alihitaji heavy weight wa kidini pia kuingia camp yake, ujio wa Ponda umesaidia kuwavurugia wale viongozi wa dini waliaoanza kumpigia Magufuli kampeni za wazi!
 
Mkuu, wewe na Lisu mtakuja kuelewa baada ya matokeo.

Alafu tofautisha kiongozi kupanda kukwani kupiga dua na kupnda jukwani kupiga kampeni
 
Mkuu, wewe na Lisu mtakuja kuelewa baada ya matokeo.

Alafu tofautisha kiongozi kupanda kukwani kupiga dua na kupnda jukwani kupiga kampeni
Alhadi akisimama akasema "hapa hakuna mitano kwanza bali kuna mitano tena", hiyo siyo kampeni?
 
Sasa kama huelewi madhara ya Ponda kupanda jukwaani kwa Lisu na kusema waislamu wampe kura Lisu basi subiri naada ya jumatano ujionee kimbunga
Lisu Siasa hajui hivi kweli unabeba Askofu wa kanisa la Moravian mwamakula akakufanyie kampeni kanda ya Dodoma ambako wengi Anglikana!!! AU unampeleka akakufanyie kampeni kanda ya ziwa ambako wengi ni wakatoliki na wa African Inland CHURCH? atakuwa na impact gani zaidi ya zero? Eti anapeleka Askofu Mwamakula akamsaidie kampeni zanzibar ambako kuna waislamu asilimia 99 atakuwa na impact gani? AU Tanga kwenye waislamu wengi unambeba askofu Mwamakula kweli??????

Haya anaenda kilimanjaro ,Arusha na HANANG kule ni katoliki na walutheri yeye kaenda na mwamakula WA MORAVIAN NA SHEHE Ponda!!!!!! Kule dini zote za ponda na mwamakula hazipo hata zikiwepo waumini wa kumulika na tochi .Mfano KILIMANJARO KWA wachaga kuna waislamu wangapi hadi umpeleke shehe ponda akufanyie kampeni? total misplacement.Mbeya yaliko makao makuu ya kanisa la moravian walimfukuza uongozi kanisa la moravian mwamakula yeye kwenye hiyo ngome ya moravian kaenda na mwamakula eti ndiye awaongoze sala wamoravian wa mbeya ambao kwao ni muasi wa kanisa!!! si chokochoko hizo kwa waumini wa moravian mbeya kanisa ambalo ni la pili kwa ukubwa mbeya na kuwa na waumini wengi.October 28 atavuna alichodharau wana moravian wa mbeya hawatampa kura
Tuwe wakweli Lisu kwenye siasa bado mdogo mno hakajakomaa kiuelewa na ki mikakati ya kisiasa

CCM tunajielewa ukienda maeneo ya waislamu wengi unaenda na Mashehe wa BAKWATA,kwenye Walutheri wengi UNAENDA na MAASKOFU wa KILUTHERI
KWENYE wakatoliki wengi CCM NA MAPADRI NA MASISTA WA KATOLIKI nk
Ambao wana impact kubwa kwenye jamii kwenye maeneo yao
 
Umeandika vzr isitoshe CCM Ina utamaduni wa kutobagua watu kwa Misingi ya Udini Ndo Maana baada ya Mwl Nyerere akaja Mwl Mwinyi Mara baada ya Mwinyi akaja Hayati Mkapa baadae Kikwete na Sasa Chuma cha pua DR.Magufuli huenda akaja Jaffo ama Majaliwa au yeyote Yule ilimradi ana sifa.
Kwa mantiki hiyo Propaganda wanavyofanya Chaggadema ni nyepesi kwani majibu yake yanajibiwa na Chama cha Ukombozi wa bara la Africa CCM.Mwisho na nukuu kauli ya Hayati Mkapa Wapinzani jamii ya Chadema sometimes ni Malofa na wapumbavu.
 
Nachoshangaa ni kuona mtu mwenye akili timamu anakuja na hoja dhaifu sana. Sheikh ponda kanyanyaswa sana udhalimu wa serikali ya CCM kwa miaka mingi. Kapigwa risali, kafunguliwa kesi nyingi za uongo na mpaka kufikia kufungwa. Ana haki ya kutetea nchi itoke kwenye udhalimu huu.

Amsterdam ni mwanasheria na sio beberu kama unavyodai. Mawakili wa Lissu wamekuwa wakifanyiwa figisu nyingi sana kwa vile tu ni watanzania option pekee ni kupata mtu wa nje ambaye mikono ya serikali ya kidhalimu haiwezi mgusa wala kufanya chochote juu yake.

Hoja zako ni dhaifu sana ndugu. Kaa ujitafakari na sio kuchumia tumbo.
 
Ukitaka ujue wako wangapi wanaomsikiliza shekhe Ponda, Muulize mwana ccm mwenzako ustadhi Pohamba usione baraza zima labakwata linakuja kumpinga mtu mmoja tu ambae nishekhe Ponda. Wanajua shekhe Ponda ni nani, ananguvu gani.
Ukiona kila mtu anainuka kukupinga ina maana wewe sio mtu wa watu.Siasa inataka uwe mtu wa watu ni sawa na jibwa likienda mahali watu wamekaa kila moja atapiga kelele wewe mbwa toka ile sio kusema mti wenye matunda ndio unatupiwa mawe!!!!!!! ni kuwa wewe mbwa kwenda zako huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…