Hii ni sawa na kupeleka malalamiko ya ndoa iliyofungwa kiislamu ikaamuliwe na kasisi wa kikatoliki. Amsterdam anadhalilisha wazungu wenzake kwa huu ulewa wake mdogo wa mambo ya kidunia , sijui lissu alimuokota wapi. Kweli chadema ni janga la dunia kama covid19As long as Mabeberu hawana cha kugain kwenye kesi, in most cases ICC huwa haina meno. Ndio maana kuna midictator mingi tu inaua watu lakini hakuna kitu ICC wanafanya.
Libya, Misri, Yemen, Syria ni mifano michache. Mpaka Bashir wa Sudan anapinduliwa, ICC hawakuwa wamemfabya kitu na yule aliua maelfu ya watu huko Darfur.
Hiyo ‘power’ ya Lissu na ujuaji wa Amsterdam wa kwenye Twitter doen’t count at all na wala haitoshangaza ICC wakijiweka pembeni mapema sana.
ICC huwa hawajianzishii Kesi wenyewe. Ni hadi walalamikaji/waathirika wa huo uonevu/uhalifu wapeleke kesi ICC. Nadhani hata hapa kwetu ndivyo ilivyo. Mahakama haikuanzishii Tu Kesi Kwa vile umetendewa uovu fulani bila mlalamikaji kufungua jalada Polisi and then mahakamani.As long as Mabeberu hawana cha kugain kwenye kesi, in most cases ICC huwa haina meno. Ndio maana kuna midictator mingi tu inaua watu lakini hakuna kitu ICC wanafanya.
Libya, Misri, Yemen, Syria ni mifano michache. Mpaka Bashir wa Sudan anapinduliwa, ICC hawakuwa wamemfabya kitu na yule aliua maelfu ya watu huko Darfur.
Hiyo ‘power’ ya Lissu na ujuaji wa Amsterdam wa kwenye Twitter doen’t count at all na wala haitoshangaza ICC wakijiweka pembeni mapema sana.
Thats right. Hicho alichopeleka Maria Sarungi na ACT kama hakina maslahi kwa ‘powerful donor countries’ ninakuhakikishia kwamba ICC watakitupa huko.ICC huwa hawajianzishii Kesi wenyewe. Ni hadi walalamikaji/waathirika wa huo uonevu/uhalifu wapeleke kesi ICC.
Thibitisha kamua Nani!? Na wapi!? Na lini!?Mishipa ya shingo imekutoka kwa kumtetea huyu mhutu, amekufanyia nini jema. Dude katili, liuaji, lisilothamini utu.
Matapeli ya kizungu hayo,sema wao Matapeli pia hupitia vyuo vikuu!!Huyu R. Amsterdam kweli ni mtu? Ana uchungu gani na Watanzania? Isijekuwa ni katika wale waliochukuliwa mali!
Yaani wwe na hiyo picha mmefanana sana akili zenu wote Kama za Mbeligiji!!Ukiwa ccm kichwani unakuwa hiviView attachment 1627762
CDM imeaangamia kwenye box la Kura, Wananchi ndiyo wameiangamiza!!kuangamiza kundi la upinzani lisilo CCM particlarly CHADEMA
Hadi na wwe unajichukia kwa kuumbwa Mweusi!!Nawapendaga tu!
Acheni uongo. Mlisema lissu atahutubia bunge la ulaya mwenyewe kasema ni uongo. Kashagundua uongo hausaidii kwa siasa za tanzania. Mumeshindwa uchaguzi mkuu munaenda kushitaki ICC? Nani aliwadanganya kama chama kikishindwa uchaguzi nchini kwake kinaenda kushitaki ICC. Nyie kweli ndio hamnazo. Ukishindwa uchaguzi unakwenda mahakamani kukata rufaa. ICC wanahusika na uhalifu dhidi ya binadamu kwenye nchi zilizo na vita sio nchi huru zilizofanya uchaguzi kwenye amani kama tanzania.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Zitto na Tundu LISU hadi kwenye kampeni zao waliipiga vita Marekani kibiashara WAZIWAZI NDANI YA BUNGE na nje ya bunge na kwenye kampeni Kkupinga ununuzi wa ndege toka BOeing.Zitto kabwe alifikia hatua hadi ya kutamka kuwa ndege zilizoletwa ni mitumba zimepakwa tu rangi!!! Imagine anatukana shirika kubwa kama Boeing kuwa lime supply ndege mitumba shirika lenye hadhi kubwa duniani kama BOEINGThats right. Hicho alichopeleka Maria Sarungi na ACT kama hakina maslahi kwa ‘powerful donor countries’ ninakuhakikishia kwamba ICC watakitupa huko.
Kwakuwa ni mungu kila kitu duniani kipo chini yake?Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Wajidhibiti wenyewe kwanza......Mungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibiti.
HAWEZI KUTOBOA HII KESI MAANA HUU UJINGA NDO WALIKUWA WANAUTUMIA KUSABABISHA VITA NA MIGOGORO KATIKA MATAIFA MENGI YA AFRICA. YEYE NI NANI KATIKA ULIMWENGU HUU LISSU ANAJISUMBUA BURE BAADA YA NIA YAKE YA MAANDAMANO KUTOUNGWA MKONO NA WATANZANIARobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Mbona huko mbali sana mkuu?Miaka miwili mbele kuna mtu flani atakufa
Ukiingia tena kwenye akaunti hiyo, niandikie SH**!Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.