Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Kuna utumwa zaidi ya kutenga Bajeti inayotegemea wahisani miaka 59 baada ya uhuru?Kilaza mkubwa wewe!
Wewe ni poyoyo kweli,wewe unachofikiria hizo fedha wanagawa bure tu,kila mtu hawez kujitosheleza hapa duniani
 
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Mungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibi.
What about the Moors( black people) who enslaved Europeans (wazungu)?

"if you know your history, then you would know where you are coming from"__By Bob Marley
 
Kasome taratibu za kufungua kesi ICC sio Kisutu, mbona mnajiabisha na huyo shoga wenu.
 
Bwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.

Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda madaraka waliyonayo. Ni lazima kidhibitiwe.
Unajiongopea na huyo kibarakana wenu Mbeligiji hana lolote la kuitisha Tz, Tanzania ni Zaidi ya Magufuli! Yeye apambane na Magufuli wake!!
 
Unajiongopea na huyo kibarakana wenu Mbeligiji hana lolote la kuitisha Tz, Tanzania ni Zaidi ya Magufuli! Yeye apambane na Magufuli wake!!
Bunge la Ulaya litasikia madhambi yenu nyinyi wacha Mungu wanafiki
 
Hiyo kesi haitofika popote.

Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Bashir wa Sudani alikuwa implicated kwa vitendo vya majeshi yake yalivyokuwa yanafanya Dafur. Alikuwa hachukui hatua. Same thing, Magu anabariki maovu with evidence.

Magu ni muuaji, ingawa utekaji ulianza wakati wa Kikwete, Kikwete hakuua. Magu is barbaric and sadistic in nature, labda kwa geographical origination yake.

you can’ t kill all those people halafu uwe huna remorse, unless you are a sadist
 
Mbona umetumia nguvu kubwa kumjibu!? Ungempotezea tu,asiyejua maana haambiwi maana!!
 
Wewe hujasikia yale mauaji ya Zanzibar? Kumbuka kuna kesi za aina mbili. Ile ya mass murder ambayo dunia inaona- kama ile ya Dafur. Halafu ile ya kushitaki kama ile ya Gambia Vs Myanmar. Kwani Kenya walikufa watu wangapi? Na Kenyatta alikuwa culprit.

hebu tuone evidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…