Mpaka umeona yeye kakikumbuka kifo,Basi na yeye mkumbukaji kifo kinamkaribia!!We Jamaa utakua mchawi, mambo gani haya ya kuombeana kufa,
Sema hata hivyo hakuna atakayebaki hapa duniani wote tunapita tuu , ni suala LA muda , muda wako ukifika hakuna namna utaondoka tuu
Bob Amsterdam Mzee wa loopholes!![emoji38]From chadema ya kutafuta vijana chuo kuwajenga kuwa viongozi wa badae to Chadema wanategemea kushinda kwajili ya Mwanasheria mwenye ofisi Washington na London... Kwaiyo sahivi kamati kuu ya chadema itakua inaongea nini Bob Amsterdam anafanya kuhusu mipango yao. Shame!
Huyu anaota tu; kwanza hayuko kwenye list ya wanasheria wanaotambulika na ICC. Halafu inawezekana pia hajui interests za donor countries, kwani wao ushindi wa Lissu siyo priority yao kabisa, wanachotaka ni stabiliy ya nchi na influence yao kwao! Wanaoitwa donor wakikataa kuipamisaada Tanzania halafu Tanzania ikafungulia adversaries wao ndio wawe na influence ni tabu sama kwao. Kilichomfanya Obama aje Tanzania haraka sana baada ya Rais wa China kuwa ametembelea Tanzania baada ya kuchaguliwa ni hiyo vita ya influence.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Anamsubiri Lissu aje amgawie mapesa ili nae aporomoshe Majumba mtaani kwake!Wewe ni poyoyo kweli,wewe unachofikiria hizo fedha wanagawa bure tu,kila mtu hawez kujitosheleza hapa duniani
Risasi 16 lilikua Cinema lile,muulizeni Mbeligiji mwenyewe anajua hilo Cinema kacheza na Nani!?Fikra za ki utu ni kupigwa risasi 16 na mzungu kutoa tiba Ubelgiji.
Bunge la Ulaya kitu gani bhana,tuko na Bunge letu Dodoma linaongea Kiswahili, nyinyi Wazungu subirini Bunge lenu la Ulaya,ili mumuone Mbunge wa zamani kutoka Singidani!!Bunge la Ulaya litasikia madhambi yenu nyinyi wacha mungu wanafiki
Tulia mbona unaharaka!? Kesho Chuma Kinaaunguruma Bungeni,pay attention!!Undeni kama to ya PAC bungeni kwanza.
Ni YeYe aliyekimbilia Ubelgiji!Hapana !niyeye
Magu kauwa watu wako wangapi mpaka hivi Sasa!?Bashir wa Sudani alikuwa implicated kwa vitendo vya majeshi yake yalivyokuwa yanafanya Dafur. Alikuwa hachukui hatua. Same thing, Magu anabariki maovu with evidence.
Magu ni muuaji, ingawa utekaji ulianza wakati wa Kikwete, Kikwete hakuua. Magu is barbaric and sadistic in nature, labda kwa geographical origination yake.
you can’ t kill all those people halafu uwe huna remorse, unless you are a sadist
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Muda mfupi tu mesahau kuwa mlijaza JF na picha/video za kuunganisha ionekane kampeni za mliyemwita "NiYeyeee" kuwa na nyomi?Bwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.
Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda madaraka waliyonayo. Ni lazima kidhibitiwe.
Yeye ni wakili tu walalamishi ni sisi wenyewe!Mungu wabariki Wazungu
When you write in a forum like this your urguments should be buttressed by reasons why you believe that.But in most of your articles you behave like a no class!! Shame. Take it from me, this time this dictator will never escape the rule of law.Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
“Urguments” 🤣🤣When you write in a forum like this your urguments should be buttressed by reasons why you believe that.But in most of your articles you behave like a no class!! Shame. Take it from , this time this dictator will never escape the rule of law.
Ubarikiwe wewe mwenye akili za kuua wenzakoAkili za kitumwa
Umemjibu vemaKuna utumwa zaidi ya kutenga Bajeti inayotegemea wahisani miaka 59 baada ya uhuru?Kilaza mkubwa wewe!
Afadhali ushenzi, wao ni majizi na nunda wala watuWashenzi kabisa hao,eti wanafanya kongamano kuwa uchaguzi umemalizika kwa amani!Kwa amani wakati watu wamekufa na wengine kufanywa vilema,shwain kabisa!
Mass crimes against humanity, lete authorityICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
patient pays! WachaICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo