Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Sana, weusi wengi tuna ubinafsi mno.
Mtu anakuwa kiongozi kwa njia ya kuua na kutesa lakini anapongezwa na viongozi wa dini.
 
Nadhani atafile ushahidi wa video za mauaji na vipigo, siyo wizi wa kura.
Kwenye wizi wa Kura tutegemee Lissu kutuchongea kwa mabeberu atakapohutubia bunge la EU ili watunyime hela zao.
Nadhani hata lengo la Amsterdam ni kuwashawishi mabeberu watunyime hela zao tukienda kuomba.

Hata hivyo hatuna haja na hela za mabeberu, wabaki nazo tu, sisi tutaprint za kwetu maisha yataendelea.
 
Hata hivyo hatuna haja na hela za mabeberu, wabaki nazo tu, sisi tutaprint za kwetu maisha yataendelea.


Ndio, kama mmeweza kuprint kura fake je mtashindwa kuprint noti ? 🤣
 
Fanya fasta kumshitaki huyu mhutu. Ripoti ya Umoja wa Mataifa ya hivi karibuni inaonesha Tanzania ni nchi isiyo na furaha duniani. Imeshika nafasi ya 147 kati ya nchi 154. Moja ya sababu ya nchi hii kuwa yenye huzuni ni kufiwa kwa demokrasia, wizi wa kura kupata watawala haramu, mauaji kwa wapinzani, hali ngumu ya maisha, nk. Yaani nchi ipo msibani. Mhutu na genge lake akajieleze ICC.
 
Tanzania ni nchi huru tunapaswa kujiendesha na kufuata taratibu tulizojiwekea wasitubabaishe hawa wazungu DR Magufuli songa mbele


40% ya Budget yako inategemea Hela kutoka kwao, utakumbuka Zitto alipoenda kuzuia Pesa ya Elimu kutoka Bank ya Dunia, ni jinsi gani kelele ilivyopigwa na hata baadhi ya Wabunge walitaka Zitto auawe.

Bado sisi ni tegemezi sana kutoka kwa Wazungu.
 
Watanzania mmepata mjenga nchi tulieni nae kwa wakati huu atujengee nchi yetu kwanza marais wala bala watakuja siku za baadae wakati huo nchi itakuwa safi kweli
 
Hilo li Amsterdam jinga mbona nchi zao hazitambui ICC?

Marekani ilipiga marufuku Hadi viongozi wa ICC wasithibutu kukanyaga Marekani Wala kumchunguza mmarekani yeyote

Hiyo kesi kenge tu Hakuna mtanzania mkaa Tanzania ataenda wanapoteza muda Kama Ni kuzalisha wakimbizi hawazalishwi mmoja au wawili Lisu na Lema wake kunakuwa na mass killings na mass Exodus Kama ilivyotokea Rwanda ,Burundi na Kenya na Sudan kuzalisha wakimbizi maelfu wa ndani

Nchi gani unasema Ohhh inazalisha wakimbizi ,wakimbizi wenyewe wawili Tena passport wanazo!!! Wanaenda balozini wamenenepeana na kiingereza kingi!!!!!

Waende wajinga wakubwa
 
Reactions: len
Pale masikini anapojifariji kuwa IPO siku ataokota mipesa ili awe tajiri kama mo!!

Ujinga ni mzigo mkubwa Sana!

Huyo Amsterdam naye keshaanza kuwa mjinga na ukizingatia uzee umemshika haelewi kesi zinazoamliwa na ICC

Mpumbavu Sana huyo mzungu
 
Bwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.

Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda madaraka waliyonayo. Ni lazima kidhibitiwe.
Ni WAPUMBAVU pekee wanaoona kuwa hiyo CCM haina maana,na ni WAJINGA NA WAPUMBAVU pekee wanaoona huu upinzani na wazungu kua ni bora kwenye aridhi yetu.
 
Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Mimi sikubaliani na Jiwe na CCM yake lakini pia sikubaliani na vikwazo.Manake vitawaingiza waliokuwemo na wasiokuwemo!
 
Mkwara mbuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…