Kwani nani asiyejua hayaHuyu anaota tu; kwanza hayuko kwenye list ya wanasheria wanaotambulika na ICC. Halafu inawezekana pia hajui interests za donor countries, kwani wao ushindi wa Lissu siyo priority yao kabisa, wanachotaka ni stabiliy ya nchi na influence yao kwao! Wanaoitwa donor wakikataa kuipamisaada Tanzania halafu Tanzania ikafungulia adversaries wao ndio wawe na influence ni tabu sama kwao. Kilichomfanya Obama aje Tanzania haraka sana baada ya Rais wa China kuwa ametembelea Tanzania baada ya kuchaguliwa ni hiyo vita ya influence.
Watu wanadhani kuwa ICC ndiyo rungu kubwa sana lakini hamna lolote; in fact ICC haitumi wanasheria wake kuchunguza na kuendesha kesi bila ya kuwa na ushahidi wa kuonyesha watu wengi wasiokuwa na hatia waliuwawa kwa kutumia nguvu za serikali.
Ngoja niwape copy ya ICC charter inayoonyesha aina nne za kesi zinazosimamiwa na ICC: kesi za kisiasa hazimo, au kesi ya mtu mmoja kuonewa na serikali ya nchi yake pia hazimo.
The Court's founding treaty, called the Rome Statute, grants the ICC jurisdiction over four main crimes.
- First, the crime of genocide is characterised by the specific intent to destroy in whole or in part a national, ethnic, racial or religious group by killing its members or by other means: causing serious bodily or mental harm to members of the group; deliberately inflicting on the group conditions of life calculated to bring about its physical destruction in whole or in part; imposing measures intended to prevent births within the group; or forcibly transferring children of the group to another group.
- Second, the ICC can prosecute crimes against humanity, which are serious violations committed as part of a large-scale attack against any civilian population. The 15 forms of crimes against humanity listed in the Rome Statute include offences such as murder, rape, imprisonment, enforced disappearances, enslavement – particularly of women and children, sexual slavery, torture, apartheid and deportation.
- Third, war crimes which are grave breaches of the Geneva conventions in the context of armed conflict and include, for instance, the use of child soldiers; the killing or torture of persons such as civilians or prisoners of war; intentionally directing attacks against hospitals, historic monuments, or buildings dedicated to religion, education, art, science or charitable purposes.
- Finally, the fourth crime falling within the ICC's jurisdiction is the crime of aggression. It is the use of armed force by a State against the sovereignty, integrity or independence of another State. The definition of this crime was adopted through amending the Rome Statute at the first Review Conference of the Statute in Kampala, Uganda, in 2010.
Mark my post tuje tujadiliane tena kuhusu hili miaka minne ijayo iwapo tutabahatika kuwa tupo hai.
Wewe unaonewa na nani hapo Ufipa?Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Mungu awabariki wazungu wenye nia njema.!Mungu wabariki Wazungu
Bado upo utumwaniWazungu ndani ya Dunia ni Malaika kabisa.
Sisi watu weusi tuna roho mbayaaaaa basi tu hatuna nguvu,ndio maana unawaona haowenye madarak wanavurugwa watu wao.Sasaimagine wangekuwa na nguvu kama za wazungu Dunia isingekalika.
Huyu hapa Joe Biden anatetea watu weusi.
1.
Pole bado akili haijarudi sawa bana ya kushindwa uchaguzi. Pole.Afadhali ushenzi, wao ni *******
Nchi gani Afrika inajitegemea? Wazungu walipotupatia Uhuru walikwisha kuandaa mazingira ya sisi kuwa tegemezi kwa muda fulani. Ndiyo maana huwatumia waafrika wenzetu kutudhulumu daima. Ukitaka ufanye jambo la Maendeleo wanapiga vita. Ufuate yao.Kuna utumwa zaidi ya kutenga Bajeti inayotegemea wahisani miaka 59 baada ya uhuru?Kilaza mkubwa wewe!
Wewe huwa unafanya makosa makubwa sana. Usiwe unajilinganaisha wewe Tanzania na Marekani. Ni sawa kabisa kumlinganisha kipofu na mtumwenye macho; au kumlinganisha IQ above 160 na IQ below 50. Marekani ni Super Power, Wewe Tanzania ni Super Poor, yaani wewe wa kujilingaanisha ni Somalia au Afghanistan. Hata Pakistani usijilinganishe na wewe.Hilo li Amsterdam jinga mbona nchi zao hazitambui ICC?
Marekani ilipiga marufuku Hadi viongozi wa ICC wasithibutu kukanyaga Marekani Wala kumchunguza mmarekani yeyote
Hiyo kesi kenge tu Hakuna mtanzania mkaa Tanzania ataenda wanapoteza muda Kama Ni kuzalisha wakimbizi hawazalishwi mmoja au wawili Lisu na Lema wake kunakuwa na mass killings na mass Exodus Kama ilivyotokea Rwanda ,Burundi na Kenya na Sudan kuzalisha wakimbizi maelfu wa ndani
Nchi gani unasema Ohhh inazalisha wakimbizi ,wakimbizi wenyewe wawili Tena passport wanazo!!! Wanaenda balozini wamenenepeana na kiingereza kingi!!!!!
Waende wajinga wakubwa
Sioni ni vipi magu atakuwa na amani awamu hii na baadaye. Kesi dhidi ya ubinadamu zinamhusu sana na wakati huu hakuna anayeamini.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Mungu sio mbaguzi..Mungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibi.
Zipo nchi za Kiafrika zinazojitegemea,usipotoshe watu kuwa Afrika yote ni tegemezi.Ingekuwa siyo ubinafsi,tamaa,wizi,udikteta na ujinga zingekuwa nyingi au zote(Afrika)yote ingekuwa inajitegemea.Fikiria raslimali zilizopo katika bars hili LA Afrika.Nchi gani Afrika inajitegemea? Wazungu walipotupatia Uhuru walikwisha kuandaa mazingira ya sisi kuwa tegemezi kwa muda fulani. Ndiyo maana huwatumia waafrika wenzetu kutudhulumu daima. Ukitaka ufanye jambo la Maendeleo wanapiga vita. Ufuate yao.
Wewe mwabudu Marekani Mbona Corona wao wameshindwa kuitokomeza sisi tumeweza? Eti Superpower .Mbona Corona wameshindwa?Yaani kufuru ni, Baada ya Mungu ndiyo anakuja Marekani, wakitaka ufe unakufa. That is it.
Icc sio wajinga. Hawatumii mihemko ya ufipa.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Kikisipotokea kwa heri!Kuwa na file ICC inatosha kukuweka sawa maana ile ni reference chochote kikitokea wata refer back.
Dream, labda hujui Iraq ilikuwaje na ikapigwaHuyu anaota tu; kwanza hayuko kwenye list ya wanasheria wanaotambulika na ICC. Halafu inawezekana pia hajui interests za donor countries, kwani wao ushindi wa Lissu siyo priority yao kabisa, wanachotaka ni stabiliy ya nchi na influence yao kwao! Wanaoitwa donor wakikataa kuipamisaada Tanzania halafu Tanzania ikafungulia adversaries wao ndio wawe na influence ni tabu sama kwao. Kilichomfanya Obama aje Tanzania haraka sana baada ya Rais wa China kuwa ametembelea Tanzania baada ya kuchaguliwa ni hiyo vita ya influence.
Watu wanadhani kuwa ICC ndiyo rungu kubwa sana lakini hamna lolote; in fact ICC haitumi wanasheria wake kuchunguza na kuendesha kesi bila ya kuwa na ushahidi wa kuonyesha watu wengi wasiokuwa na hatia waliuwawa kwa kutumia nguvu za serikali.
Ngoja niwape copy ya ICC charter inayoonyesha aina nne za kesi zinazosimamiwa na ICC: kesi za kisiasa hazimo, au kesi ya mtu mmoja kuonewa na serikali ya nchi yake pia hazimo.
The Court's founding treaty, called the Rome Statute, grants the ICC jurisdiction over four main crimes.
- First, the crime of genocide is characterised by the specific intent to destroy in whole or in part a national, ethnic, racial or religious group by killing its members or by other means: causing serious bodily or mental harm to members of the group; deliberately inflicting on the group conditions of life calculated to bring about its physical destruction in whole or in part; imposing measures intended to prevent births within the group; or forcibly transferring children of the group to another group.
- Second, the ICC can prosecute crimes against humanity, which are serious violations committed as part of a large-scale attack against any civilian population. The 15 forms of crimes against humanity listed in the Rome Statute include offences such as murder, rape, imprisonment, enforced disappearances, enslavement – particularly of women and children, sexual slavery, torture, apartheid and deportation.
- Third, war crimes which are grave breaches of the Geneva conventions in the context of armed conflict and include, for instance, the use of child soldiers; the killing or torture of persons such as civilians or prisoners of war; intentionally directing attacks against hospitals, historic monuments, or buildings dedicated to religion, education, art, science or charitable purposes.
- Finally, the fourth crime falling within the ICC's jurisdiction is the crime of aggression. It is the use of armed force by a State against the sovereignty, integrity or independence of another State. The definition of this crime was adopted through amending the Rome Statute at the first Review Conference of the Statute in Kampala, Uganda, in 2010.
Mark my post tuje tujadiliane tena kuhusu hili miaka minne ijayo iwapo tutabahatika kuwa tupo hai.
Ilani ya CCM 2020-2025 utekelezaji wake utakuwa ni sawa na ngamia kupenya kwenye Tundu la sindano.Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Kweli Sheikh YahayaHiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Kabisa mkuuWazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Dikteta si ni mbabe na wazungu awatumbueRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Unaendelea kupongeza ,kila matamko ya wapuuzi.Lakini matamko yote huwa yanaishia JF.Haya matamko yenu ya JF ,naona yanawapa faraja sana.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.a
Taja moja tu.Zipo nchi za Kiafrika zinazojitegemea,usipotoshe watu kuwa Afrika yote ni tegemezi.Ingekuwa siyo ubinafsi,tamaa,wizi,udikteta na ujinga zingekuwa nyingi au zote(Afrika)yote ingekuwa inajitegemea.Fikiria raslimali zilizopo katika bars hili LA Afrika.