Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Siwezi kwemda kanisani kutokana na jinsi viongozi wa dini walivotutendea waumini zao. Nitakuwa nasali mwenyewe hapa nyumbani kwangu.Viongozi wa dini wa Tanzania wanasubiri sadaka zetu kesho kutwa.
Hata 2015 mlisema hivohivo na mkawatuma akina Ben sanane kueneza uongo ulaya Afrika isitawalike. Lakini shughuli ziliendelea.Ilani ya CCM 2020-2025 utekelezaji wake utakuwa ni sawa na ngamia kupenya kwenye Tundu la sindano.
Yaliyokuwemo kwenye ilani ya CCM 2015-2020 hayo hayo ndiyo yaliyomo kwenye ilani ya CCM 2020-2025. Isome vizuri ilani yenu,nimefanya hivyo kwa kudhania kuwa watanzania wengi hawana Tabia ya kujisomea. Bob Robert Amsterdam atawasumbua Sana futeni habari ya misaada na mikopo kutoka kea mabeberuHata 2015 mlisema hivohivo na mkawatuma akina Ben sanane kueneza uongo ulaya Afrika isitawalike. Lakini shughuli ziliendelea.
Akamfungulie na BiddenRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Dumbest comment ever.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Salary Slip na the co. Siku hizi wana kodisha IQ zao. Hivyo, ni vigumu kwa sasa kukuelewa Mkuu.Amsterdam kachangia sana kufifisha ushindi wa Lisu.
Sijawahi kudhani wewe ni coon.Mungu alijua hilo na ndio maana aliwapa hawa wenzetu uwezo ili watudhibi.
We tulia ulipo. Unawashwa na nini nduguBwana Yule, kwa matendo yake, atatusaidia kuondokan na hili dubwasha linaloitwa sisiem.
Hiki ni kikundi cha watu hatari sana kinachoweza fanyia uhalifu wowote dhidi ya binadamu mradi kulinda madaraka waliyonayo. Ni lazima kidhibitiwe.
Hakika ,wazungu wanatustaarabisha sana bila hivyo tungekuwa tunauawa kama kuku na viongozi wetu wenyewe.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Ndugu zake wakiwafanyia ubaya watu wengine sisiki akiwapeleka ICCRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Hatuwapi tena sadaka zetuWashenzi kabisa hao,eti wanafanya kongamano kuwa uchaguzi umemalizika kwa amani!Kwa amani wakati watu wamekufa na wengine kufanywa vilema,shwain kabisa!
Ni kweli kabisa! Sema Donors ndiyo watakaotuumiza.ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Hawawezi kuelewa mkuu!Salary Slip na the co. Siku hizi wana kodisha IQ zao. Hivyo, ni vigumu kwa sasa kukuelewa Mkuu.
Ninawachukia sana Viongozi wetu wa Dini Maana ni Wanafiki sana na Awajawahi Kuishi Wanachokiamini...Washenzi kabisa hao,eti wanafanya kongamano kuwa uchaguzi umemalizika kwa amani!Kwa amani wakati watu wamekufa na wengine kufanywa vilema,shwain kabisa!
When a person has been self-deceived to not go certain direction or do what is right, it is very common for them to fabricate every EXCUSE possible; are even readily disposed to accepting any kind and any amount of lies that may tend to lead them in their own way of choosing. ~ Thomas JeffersonSiwezi kwemda kanisani kutokana na jinsi viongozi wa dini walivotutendea waumini zao. Nitakuwa nasali mwenyewe hapa nyumbani kwangu.
It almost useless to hate; you are clearly hurting yourself. Find out what is right, instead, and lead the way.Ninawachukia sana Viongozi wetu wa Dini Maana ni Wanafiki sana na Awajawahi Kuishi Wanachokiamini...
Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
South Africa, Egypt, Tunisia, Botswana, Comorro, Djibout, Ghana, Zanzibar etc.Taja moja tu.
Agh wapi kuitwa tu the Hague ni hatua njema itawaamsha CCM hujamuona Musiba?Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.