lazima uongee hivyo kama umenyang'anywa bakuli la chakula. Jua kuna zama zenu zimepita, ila am sure ukirudi nyumbani hadi mzee wako anakubali yanayoendelea TanzaniaBora wazungu kuliko kikundi hatari kwa utu wa mwanadamu kinachoitwa CCM.
Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Mi nshaachaga huo upuuzi sadaka yangu bora niinywe mbege au nikat.ombeeSadaka kwa hawa wanaojiita 'watumishi wa Mungu' tusitishe kuwapa hawana msaada kabisa ktk ustawi wa nchi. hata kuonewa na kuhujumiwa na wakoloni weusi wao wanashangilia tu!
Ni kweli Wafrika tunahitaji wawekezaji wa kizungu hata kwenye demokrasia maana kote tumeshindwa!Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Tatizo huyu jamaa ana deal na watu wasiojua ICC inafanyaje kazi. Tanzania hatujafikia viwango vya kushtakiwa ICCHiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Ahaaa wapi,porojo tu kama ni wakufanya afanye basi tuone,aache kujishebedua mitandaoni kutweet.Ended hen I serikali lakini wale mnaowapelekea bakuli wanaelezwa unyama wenu live.
Wazungu walipokua wakoloni walichukua mali lakini walikumbika kutupa huduma za jamii. Sisi tunashindwa kuwapa watu wetu hata huduma za kijamii.Ni kweli Wafrika tunahitaji wawekezaji wa kizungu hata kwenye demokrasia maana kote tumeshindwa!
Umekosea, sema mabeberu. Huwa wanakuwa wazungu wakileta michango na mikopo. Wakipinga wanakuwa mabeberuWazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Na kama hayawakeri kaeni kimya.Ahaaa wapi,porojo tu kama ni wakufanya afanye basi tuone,aache kujishebedua mitandaoni kutweet.
Yaani inashangaza kabisa!Akili za kitumwa
Kitendo tu cha kuitwa kule ni aibu tosha kwa CCM na kwake pia.Hiyo kesi haitofika popote.
Ni hifadhi tu ya faraja kwa wale wanaomchukia Magufuli.
Jipe moyo ndugu!ICC ni watu wapuuzi sana na hawastushwi na vifo vya raia wachache. Wao huwa wanasukumwa kuchukua hatua dictator mmoja akiua maelfu ya watu
Tanzania hatujafikia hiyo hatua ya ‘massive crimes against humanity’. Nina imani hata Amsterdam analijua hilo na anajua fika kwamba ICC hawatofanya lolote. Kama kesi ni kuibiwa kura, ICC huwa haideal na kesi hizo
Usijinganishe na Marekani.... wewe upo level moja ya thinking na Rwanda; Burundi; Uganda.Akishamaliza akamfungulie kesi na Trump halafu tutegemee kusikia Tanzania imejitoa icc ikifuatiwa na Uganda na Rwanda kisha nchi kibao za Afrika huku ikiwa haijamaliza bifu lake na wamarekani
Jisemee nafsi yako usinisemee mimi wacha kiherehereUsijinganishe na Marekani.... wewe upo level moja ya thinking na Rwanda; Burundi; Uganda.
Marekani yenye watu zaidi ya 300m; iliyokuacha kimaendeleo kwa zaidi ya miongo 10. Haya unayoyafanya wao waliyapitia karne ya 13 afu eti nn
Huyu naye chizi kweli. Kesi ya nini sasa watu huku tunapiga kaziRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
Akili za kutumwa hizi.Wazungu wabarikiwe, bila wazungu weusi tunaoneana sana.
Ndiyo maana Musiba kabadili gia anganiRobert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter:
With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.