Robert Heriel Mtibeli una akili sana na hakuna kijana anakuzidi akili hapa Tanzania .

Robert Heriel Mtibeli una akili sana na hakuna kijana anakuzidi akili hapa Tanzania .

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Robert Heriel Mtibeli ndo Kijana namba moja mwenye akili hapa Tanzania .

Namuona Mbali Sana huyu Kijana, maana kwa umri wake wa miaka 31 tu Ila amefanya mapinduzi Makubwa ya kifikra kwa vijana .

Naskitika kuona this guy is still underutilized , Serikali kama mnashindwa kutumia treasure Kama hizi vizuri basi mtaendelea kuwa nyuma Daima.

Yule Robert Mwingine anayetaka urais anababisha tu.

Hana content kichwani.
 
Hii ni tafsiri halisi ya ujinga walionao vijana wa kiafrica. Hapa unasumbuliwa na ujinga pia kwa mbali naona kama una tatizo lingine la maradhi kwenye ubongo wako.
 
Kwanza akili Nini?
Ukishajibu Hilo kumbuka, yule aliyekuzidi wewe akili kutokana na ujinga wako usigeneralize kuwa kawazidi wengine pia.
Akili ni nywele Kila mtu ana zake hakuna namna ya kufanya comparison, Kila mtu ana category ambayo akili yake imefocus huko, huyo unayesema mwenye akili kisa fasihi simulizi mpeleke kwenye Programming kupiga code ndo utajua kuwa wewe ni kichwa box kwa kauli uliyoitoa.
 
Back
Top Bottom