G
guest-1787677352
Guest
Mambo ya JF hayo sawa na maandiko wa Marry Diana na wa Kijana Masikini watu wanajimegea mapande tu JF.Itoshe kusema mwandiko wako tunaujua
Mambo ya JF hayo sawa na maandiko wa Marry Diana na wa Kijana Masikini watu wanajimegea mapande tu JF.Itoshe kusema mwandiko wako tunaujua
Robert ana kitu ila anapaswa kukiendeleza.True huyu jamaa ana IQ kubwa
Akili zake ziko kwenye logic gani tumpime ...ungeniuliza mimi kuhusu mtu mwenye akili nje ya mimi basi ningemtaja MOTOCHINI siyo huyo unaye msema wewe...kwa kutumia akili zangu zenye uwezo sahihi kupambanua mafumbo magumu na siri nzito nilimuona motochini ndiyo ana akili kuliko wana JF wote mliomo humu isipokuwa mimi tu.Robert Heriel Mtibeli ndo Kijana namba moja mwenye akili hapa Tanzania .
Namuona Mbali Sana huyu Kijana, maana kwa umri wake wa miaka 31 tu Ila amefanya mapinduzi Makubwa ya kifikra kwa vijana .
Naskitika kuona this guy is still underutilized , Serikali kama mnashindwa kutumia treasure Kama hizi vizuri basi mtaendelea kuwa nyuma Daima.
Yule Robert Mwingine anayetaka urais anababisha tu.
Hana content kichwani.
Mkuu, kwa hiyo unataka kusema mimi ni Marry? Acha wivu sio kisa tunapendana ndiyo uamue kutudhalilisha hivi.Mambo ya JF hayo sawa na maandiko wa Marry Diana na wa Kijana Masikini watu wanajimegea mapande tu JF.