Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,465
- 7,764
Ukweli lazima usemwe .Hii ni malaria plus+.
Ungeandika "mawazo yako lazima yaandikwe"!Ukweli lazima usemwe .
We Askari endelea kupikaMleta mada Acha kutuzuga
Aliyekuzidi kakuzidiUngeandika "mawazo yako lazima yaandikwe"!
Unayemuona mrefu kwako ana mrefu wake.Tulia wewe!Aliyekuzidi kakuzidi
Hii ni tafsiri halisi ya ujinga walionao vijana wa kiafrica. Hapa unasumbuliwa na ujinga pia kwa mbali naona kama una tatizo lingine la maradhi kwenye ubongo wako.Robert Heriel Mtibeli ndo Kijana namba moja mwenye akili hapa Tanzania .
Namuona Mbali Sana huyu Kijana, maana kwa umri wake wa miaka 31 tu Ila amefanya mapinduzi Makubwa ya kifikra kwa vijana .
Naskitika kuona this guy is still underutilized , Serikali kama mnashindwa kutumia treasure Kama hizi vizuri basi mtaendelea kuwa nyuma Daima.
Yule Robert Mwingine anayetaka urais anababisha tu.
Hana content kichwani.