Robert Heriel Mtibeli una akili sana na hakuna kijana anakuzidi akili hapa Tanzania .

Huyu dogo unayasema ana akili nyingi alindika huu uzi kuwa kufikia July mwaka huu Iran itakuwa imesambaratika.

Kama hizi ndio akili zenyewe, umewakosea sana vijana wa Tanzania

 
Akili zake ziko kwenye logic gani tumpime ...ungeniuliza mimi kuhusu mtu mwenye akili nje ya mimi basi ningemtaja MOTOCHINI siyo huyo unaye msema wewe...kwa kutumia akili zangu zenye uwezo sahihi kupambanua mafumbo magumu na siri nzito nilimuona motochini ndiyo ana akili kuliko wana JF wote mliomo humu isipokuwa mimi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…