kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Hata yule Hilu nae nae ni balaaCHAVULA Nate ni shidaa nyingine,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yule Hilu nae nae ni balaaCHAVULA Nate ni shidaa nyingine,
Vichwa vilitoka mapema sana serekali yenyewe inavijuaHamna kitu. Hajawahi kushindwa kesi zipi? Hiz za Mahakama za Tanzania ambazo zinatengenezewa hukumu na watawala? Si aende upande wa pili atetee watu dhidi ya watawala tuone umahiri wake.
Kwa Tanzania vichwa vyote vizuri vya sheria haviwezi kukubali kuajiriwa na serikali.
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Kweli mmevurugwa, mbowe leo mnamfananisha na Babu seya!Hata mlipo mfunga babu Seya ma CCM mlishamgilia Chadema walipo kuja na hoja ya kumtoa babu Seya na ma ccm mkashangilia. CCM imekusanya wajinga tupu kichwani.
Nyerere aliwahi waambia CCM sio mama yake anaweza kuhama hamkuelewa tuu.
WEWE NUNA ILA WENZAKO KICHEKO- MLO WA MIHONGO NA MAHINDI YA KUCHEMSHAHuyu fala sio ndio alisema wao mawakili wa serikali ni sehemu ya mahakama watu wapende wasipende ukweli ndio huo?!
Kuna siku atajutia kiburi chake cha kiuwendawazimu
Asantetukutane mahakama ya rufaa, viwanja hivyo ni viwanja 'jopo' la wabobez wa sheria, hakuna cha wazee michongo au vilaza vilaza kama kidando au tiganga……….
Wamfunge tuu,kwani akifungwa nchi haitasonga mbele??USHAHIDID UKO WAZI MBOWE ANAFUNGWA MKIAMBIWA CHUTAMENI MNATAKA KESI MPAKA IISHE MWISHONI NDIYO LISSU ANAANZA KUBEMBELEZA KESI IFUTWE MBONA MWANZO MLIKUWA MNASEMA MPAKA MWISHO ?
Natamani Tundu Lissu arudi aungane na Kibatala..tuone huyo Kidando wako
Kwasababu anajua mahakama zetu zinapokea maelekezo. Ndo maana hawataki katiba mpyaKaungana kwa kumwomba mama afute kesi.
Damu ya Chacha Wangwe inamtafuna Mbowe ndio maana anapitia mateso yote haya, yaani ukitenda mabaya yanakurudia hapapa Duniani kubabek, Damu ya kijana Wangwe haitamwagika bureeeeeeeHakuna mtawala kandamizi aliyewah kuishi maisha salama! Mungu ana maana yake kuleta yote haya! ilikuwepo dola ya warumi (Roman Empire) na ikaanguka!
Bahati mbaya tuna viongozi ambao kula kuku la broiler ni sifa kuliko kula kuku wa kienyeji! ipo siku
Ana roho mbaya sana huyu!Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Du!Damu ya Chacha Wangwe inamtafuna Mbowe ndio maana anapitia mateso yote haya, yaani ukitenda mabaya yanakurudia hapapa Duniani kubabek, Damu ya kijana Wangwe haitamwagika bureeeeeee
Elimu yake?Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Chavula naye ni shida nyingine, let's see,HUyu wakili wa serikali kama ni kupanga list basi hata namba 6 hapati katika lile jopo la mawakili wa utetezi.
Kesi imebebwa na mihemko ya maelekezo ya kisiasa yaani ni full "upangaji bin michongo."
Ila Mkono wa Mwenyezi Mungu ni mrefu na unafanya kazi haraka sana udhulumati huu utajibiwa na Mola inshAllah