Robert Kidando, Wakili Msomi wa Serikali ambaye hupewa kazi ya kusimamia kesi nzito nzito na hajawahi kushindwa, na hii kesi ya Mbowe lazima ashinde

Robert Kidando, Wakili Msomi wa Serikali ambaye hupewa kazi ya kusimamia kesi nzito nzito na hajawahi kushindwa, na hii kesi ya Mbowe lazima ashinde

Hamna kitu. Hajawahi kushindwa kesi zipi? Hiz za Mahakama za Tanzania ambazo zinatengenezewa hukumu na watawala? Si aende upande wa pili atetee watu dhidi ya watawala tuone umahiri wake.

Kwa Tanzania vichwa vyote vizuri vya sheria haviwezi kukubali kuajiriwa na serikali.
Vichwa vilitoka mapema sana serekali yenyewe inavijua
 
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote

Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.


Utasababisha nyumbu wamporomoshee matusi mtu asiyekuwa na kosa lolote. Prosecution inasimamiwa na jopo la mawakili saba (kama sio nane). Kitu gani kinakufanya uone mchango wa mawakili wenzake kwenye jopo lake kuwa sio sababu ya matokeo yanayopatikana kwenye hii kesi ya Mbowe na wenzake, kwa mfano?
 
Hata mlipo mfunga babu Seya ma CCM mlishamgilia Chadema walipo kuja na hoja ya kumtoa babu Seya na ma ccm mkashangilia. CCM imekusanya wajinga tupu kichwani.
Nyerere aliwahi waambia CCM sio mama yake anaweza kuhama hamkuelewa tuu.
Kweli mmevurugwa, mbowe leo mnamfananisha na Babu seya!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Huyu fala sio ndio alisema wao mawakili wa serikali ni sehemu ya mahakama watu wapende wasipende ukweli ndio huo?!

Kuna siku atajutia kiburi chake cha kiuwendawazimu
WEWE NUNA ILA WENZAKO KICHEKO- MLO WA MIHONGO NA MAHINDI YA KUCHEMSHA
UTAENDELEA PALE MAHAKAMANI
1645205086557.png
 
Kituko jaji anayesimamia kesi yambowe JAJI wamagufuli alimuokota tabora akiwa hakimu huko
 
USHAHIDID UKO WAZI MBOWE ANAFUNGWA MKIAMBIWA CHUTAMENI MNATAKA KESI MPAKA IISHE MWISHONI NDIYO LISSU ANAANZA KUBEMBELEZA KESI IFUTWE MBONA MWANZO MLIKUWA MNASEMA MPAKA MWISHO ?
Wamfunge tuu,kwani akifungwa nchi haitasonga mbele??
 
Kazi ya wakili ni kuisadia mahakama kutoa haki. Hii Ina maana kwamba kama mtuhumiwa ametenda kosa apate adhabu anayostahili na kama hajatenda kosa aachiwe huru.

Ujinga wa watu wengi ni kufikiri kuwa kazi ya wakili ni kuhakikisha Kila mtuhumiwa anaadhibiwa au kama utetezi basi aachiwe huru.

Wakili hatakiwi kutumia ujanja ujanja watuhumiwa waonewe au atetee wakosaji wasiadhibiwe.

Pamoja na yote, mawakili na raia kama wengine na hivyo wapo wapuuzi na wale wenye akili nzuri.
 
Hakuna mtawala kandamizi aliyewah kuishi maisha salama! Mungu ana maana yake kuleta yote haya! ilikuwepo dola ya warumi (Roman Empire) na ikaanguka!

Bahati mbaya tuna viongozi ambao kula kuku la broiler ni sifa kuliko kula kuku wa kienyeji! ipo siku
Damu ya Chacha Wangwe inamtafuna Mbowe ndio maana anapitia mateso yote haya, yaani ukitenda mabaya yanakurudia hapapa Duniani kubabek, Damu ya kijana Wangwe haitamwagika bureeeeeee
 
Damu ya Chacha Wangwe inamtafuna Mbowe ndio maana anapitia mateso yote haya, yaani ukitenda mabaya yanakurudia hapapa Duniani kubabek, Damu ya kijana Wangwe haitamwagika bureeeeeee
Du!
 
HUyu wakili wa serikali kama ni kupanga list basi hata namba 6 hapati katika lile jopo la mawakili wa utetezi.
Kesi imebebwa na mihemko ya maelekezo ya kisiasa yaani ni full "upangaji bin michongo."
Ila Mkono wa Mwenyezi Mungu ni mrefu na unafanya kazi haraka sana udhulumati huu utajibiwa na Mola inshAllah
Chavula naye ni shida nyingine, let's see,
 
Nyie mnaomtetea Mbowe na CDM kweli mmesahau mara hii vurugu za hawa waru? Mbowe ni Gaidi na timu yake na wala hawajasingiziwa. Na ni hao hao walitaka kuvuruga nchi mpaka wakampiga Lissu masasi mu tumbo na muguu. Japo hata yeye ni kichaa fulani lakini nadhani analifahamu fika hili jambo. Acheni mahakama ifanye kazi yake. Leo hii Mh. Rais akitia mkono wake kesi ya Mbowe, nani ataiamini Mahakama tena? Acheni huo mchezo. Kama ni Gaidi acha afungwe maisha wala hana mchango wowote kwa Taifa hili.
 
Hivi unaposema Wakili msomi, anakuwa kasoma nini zaidi ya mawakili wengine? Ufafanuzi tafadhali.
 
Back
Top Bottom