Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Sasa Kwanini msimpeleke Arusha akamtetee kipenzi chenu Sabaya! (Tunakumbuka uliongoza michango ya kumkomboa Sabaya! Umezila?!)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kwa sababu siye Armsterdam aliye mchukua mwanakwendazake!
Kwa mara ya kwanza atashindwaRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Kwnini hajaichukua ccm.?Ni kweli kwa sababu siye Armsterdam aliye mchukua mwanakwendazake!
Kwa hiyo jukumu lake yeye ni kuhakikisha watuhumiwa anawatia hatiani sio?Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Huyo wakili ni hewa sana. Ashukuru system ipo nyuma yake.Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Kwani amechelewa?!
Hujakosea mdogo wangu. Kwa kweli KAMA MUNGU HAJAPENDA HATA UFANYE NINI. IMAGINE RISASI 36 BINADAMU ANAMMIMINIA MTU ASIYE NA SILAHA HATA MANATI.Ukijiuliza JIWE sasa hivi yupo wapi baada ya jaribio lake la kumuua Tundu Lissu kushindikana basi huna wasiwasi na chochote kinachojiri, Uzuri sote pua zetu zinaangalia chini, ni hayo tu kwa sasa ndugu zangu, au nakosea?
Huyu fala sio ndio alisema wao mawakili wa serikali ni sehemu ya mahakama watu wapende wasipende ukweli ndio huo?!
Kuna siku atajutia kiburi chake cha kiuwendawazimu
Unajua kusoma lakini huelewi, rudia kusoma tena...kisha angalia ulichoandika!Kwani hujui kwamba kina Kibatala pia ni maofisa wa mahakama?
Ili aya mambo yaishe kwenye nchi hii dawa ni hii;Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Unajua kusoma lakini huelewi, rudia kusoma tena...kisha angalia ulichoandika!
Hashindwi kwenye kesi za maelekezo kutoka juu. Kwa Kibatala huyu ni kiazi tu.Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Nafikiri bado hujaelewa!!Kwani ofisa wa mahakama maana yake nini?
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Kidando kapigwa na kitu kizito. wakili msomi Peter Kibatala is a man of the matchRobert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote