Robert Kidando, Wakili Msomi wa Serikali ambaye hupewa kazi ya kusimamia kesi nzito nzito na hajawahi kushindwa, na hii kesi ya Mbowe lazima ashinde

Robert Kidando, Wakili Msomi wa Serikali ambaye hupewa kazi ya kusimamia kesi nzito nzito na hajawahi kushindwa, na hii kesi ya Mbowe lazima ashinde

Sasa Kwanini msimpeleke Arusha akamtetee kipenzi chenu Sabaya! (Tunakumbuka uliongoza michango ya kumkomboa Sabaya! Umezila?!)
 
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote

Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.

Huyo wakili ni hewa sana. Ashukuru system ipo nyuma yake.
NB: Elimu ya sheria ipo kwa ajili ya kukwepa sheria!
 
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote

Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.

Samahani lakini mtoa mada:

Kile chama chetu kipya cha siasa UP - hapa kazi tu vipi mbona hutupi mirejesho motomoto tena?
 
Ukijiuliza JIWE sasa hivi yupo wapi baada ya jaribio lake la kumuua Tundu Lissu kushindikana basi huna wasiwasi na chochote kinachojiri, Uzuri sote pua zetu zinaangalia chini, ni hayo tu kwa sasa ndugu zangu, au nakosea?
Hujakosea mdogo wangu. Kwa kweli KAMA MUNGU HAJAPENDA HATA UFANYE NINI. IMAGINE RISASI 36 BINADAMU ANAMMIMINIA MTU ASIYE NA SILAHA HATA MANATI.
 
Huyu fala sio ndio alisema wao mawakili wa serikali ni sehemu ya mahakama watu wapende wasipende ukweli ndio huo?!

Kuna siku atajutia kiburi chake cha kiuwendawazimu

Kwani hujui kwamba kina Kibatala pia ni maofisa wa mahakama?
 
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote

Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.

Ili aya mambo yaishe kwenye nchi hii dawa ni hii;

kwa kuwa hawa watu huumiza wengine ili kufaidisha familia zao, sasa ni wakati familia zao zilipe kwa ubaya wanaotenda wazazi au ndugu zao ni muda sahihi wa sheria za musa kutumika jicho kwa jicho na jino kwa jino Mathayo 5:38
 
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote

Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.

4 March 2022
Dar es Salaam, Tanzania

High Court, Corruption and Economic Crimes Division

The DPP set Freeman Aikael Mbowe and three co-accused free from prison with nolle prosequi order .

1646395132005.png
 
Kesi

Kesi ya Freeman Mbowe inashabiana na kesi ya maarufu ya Nelson Mandela iliyojulikana kama kesi ya Rivonia

Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa

Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria

In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.

For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.

In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.

Often referred to as "the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.

READ MORE Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online

Nelson Mandela: The Rivonia Trial​

The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarit
 
4 March 2022
Mahakama Kuu
Division Maalum Makosa
Ya Uhujumu Uchumi na Rushwa

SHANGWE ! FREEMAN MBOWE NA WENZIE WATATU WAACHIWA HURU LEO

Back
Top Bottom