John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali.
Ifike mahala hatua zichukuliwe, Ukubwa wetu umebakia midomoni huku tukichekwa kwa mpira 0 uwanjani.Usajili wa hovyo kabisa, Wachezaji kama Chama, Baleke sio wachezaji wa kuchezea Simba.
Timu imekosa malengo, Wala hakuna malengo ya kutwaa taji bali tumekuwa timu ya matukio!
Kupongezana kuwafunga watani, sijui kuifunga Horoya, Lakini mwisho wa siku ni ujuha na sifa za midomoni zisizo na manufaa.Kwanini hatujifunzi kutoka kwa watani? Consistency, na userious na malengo haswa katika usajili yamewafikisha mbali huku wakitwaa mataji karibu yote ndano na nje.
Inauma sana!