Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali.
Ifike mahala hatua zichukuliwe, Ukubwa wetu umebakia midomoni huku tukichekwa kwa mpira 0 uwanjani.Usajili wa hovyo kabisa, Wachezaji kama Chama, Baleke sio wachezaji wa kuchezea Simba.
Timu imekosa malengo, Wala hakuna malengo ya kutwaa taji bali tumekuwa timu ya matukio! Kupongezana kuwafunga watani, sijui kuifunga Horoya, Lakini mwisho wa siku ni ujuha na sifa za midomoni zisizo na manufaa.Kwanini hatujifunzi kutoka kwa watani? Consistency, na userious na malengo haswa katika usajili yamewafikisha mbali huku wakitwaa mataji karibu yote ndano na nje.INAUMA SANA
Ondoka wewe
 
Yaani huyo Kibu na kagoli kake kamoja ka kuotea, hatunywi maji! Vipi Mayele aliyewatungua kwa nyakati tofauti, magoli zaidi ya matatu?

Achana Aziz Kii aliyemfanya Manula kuwa majeruhi mpaka leo kupitia lile kombora lake.
Goli la kuotea lile mkuu???acha utani basi..hukuo a mtu alibinua kiuno pale
 
Haiwezekani kila mara tunaposhiriki michuano yoyote huwa tunaishia robo fainali, Yaani sisi tumekuwa wasindikizaji na wala hatuna taji lolote huku tukiishia kutiana moyo kuishia robo fainali.

Ifike mahala hatua zichukuliwe, Ukubwa wetu umebakia midomoni huku tukichekwa kwa mpira 0 uwanjani.Usajili wa hovyo kabisa, Wachezaji kama Chama, Baleke sio wachezaji wa kuchezea Simba.

Timu imekosa malengo, Wala hakuna malengo ya kutwaa taji bali tumekuwa timu ya matukio!

Kupongezana kuwafunga watani, sijui kuifunga Horoya, Lakini mwisho wa siku ni ujuha na sifa za midomoni zisizo na manufaa.Kwanini hatujifunzi kutoka kwa watani? Consistency, na userious na malengo haswa katika usajili yamewafikisha mbali huku wakitwaa mataji karibu yote ndano na nje.

Inauma sana!
Utopolo huna akili wewe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Haya wanautopolo tuliyaongea na tulitarajia! Tulijua Simba itakandwa na tulisema na ndicho kimetokea! Tukiwaambia Simba ni msindikizaji mnachukia! Tukiwaambia Simba ni kenge kwenye msafara wa Mamba mnaweka pamba masikioni. Tukiwasema msajili mnajibu matusi mazito!

Bado hujaongea vizuri Mkuu unaonaje ukiwataja wote waondoke Simba mdebwedo gwedegwede , list ni ndefu, benchi la ufundi, madaktari, wachezaji, wazee wa timu, msemaji wa Simba, mashabiki na mwekezaji sijui mnamwita Rais wa heshima Mo Deweji.

Kesho Timu ya Taifa inacheza Dar Young Africans. Kila goli ni TSH 10 millions. Tunatupia 5 - 0 dhidi ya Rivers United na kubeba TSH 50 millions za Bimkubwa, Tumpe Maua Yake!

Msisahau kombe letu la NBC limeanza kuandikwa Dar Young Africans na sherehe ya fataki za ubingwa Arachuga ndo wanazirusha kweri kweri!!
 
Jinga wewe utopolo unaenifanya lunyasi
 
Chura hafanani na kiumbe yoyote. Digidigi unaweza dhani ni mbuzi. Chura popote ni Chura hana mfanano.
 
Ktendo chakuwafukuza kinachama ndio mwisho wa Simba kutamba ndani na nnje yanchi hi
 
Back
Top Bottom