Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

Robertinho aondoke Simba timu ivunjwe. Haiwezekani tunaishia Robo Fainali kila mara

Utopolo ameanzisha uzi hamtaki kocha wa Simba kisa aliwakandika 2-0[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mchawi wewe.
Samahani sikumaanisha kwamba wewe ni wa Yanga hapana,nilikuwa nakubaliana nawe kwamba huyo aliyeanzisha uzi kwamba Robertinho aondoke ni wa Yanga hakuna mwanasimba ataandika upuuzi wa kwamba kocha aondoke. Ila kwenye kuandika sijaeleweka nisamehe bure
 
Back
Top Bottom