Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

Robertinho apost wimbo wa Yanga ukurasa wake wa Instagram

Alitaka abaki milele? Haijalishi Simba SC inapitia kipindi Gani ila kila jambo Huwa na ukomo wake. Haitabaki hivi kila siku.
Ishu sio kuondoka ishu ni kaondoka kwa style gani? Robertinyo hakua na kosa lolote dozi ya goli 5 ni kawaida iyo hata wakina morinyo, gadiora,babu fagason mwenyewe washazichezea izo, rekodi ya robertinyo ni nzuri ukilinganisha na benchika ni inaashiria mlifanya makosa kumfukuza.
 
Back
Top Bottom