Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Wakongo wachawi🤣😁
Mbona alimshindwa mazembe pale Lubumbashi 🤣😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakongo wachawi🤣😁
Mbona alimshindwa mazembe pale Lubumbashi 🤣😁😁😁
Nashangaa Timu inataka UKUBWA halafu inaogopa WAKUBWA. HII sio ligi ya kuhonga na majini.Haya mkeka ulitiki.
Tusubiri kama utaendelea kutiki
Ndivyo mlivyofundishwa shuleni?Simba inapita, Yanga wanabaki.
Jina kubwa fikra fupi.Nashangaa Timu inataka UKUBWA halafu inaogopa WAKUBWA. HII sio ligi ya kuhonga na majini.
Kun faya kun, Yanga inakwenda kuiduwaza Mamelodi na kuishangaza Africa na kulinda heshima ya nchi.Uzuri wa Mamelody humaliza shughuli ugenini.
Al Ahaly wanatabasamu Tu kupewa my wao.Simba inapita, Yanga wanabaki.
... 🗣️ 𝘼𝙆𝙄𝘽𝘼 𝙔𝘼 𝙈𝘼𝙉𝙀𝙉𝙊Acha kuwadanganya wenzako waliwe, wewe mwenyewe hapo usikute utaibetia mamelodi, unataka umpige mhindi peke yako
Cc Scars [emoji1787]
Kwahiyo bado unasimamia ulichokiandika?Ndiyo matokeo mkuu.
Watu wanaangali jina la mamelodi lkn ukweli ni kwamba. Yanga kuna vijeba vimepakiSundowns hawatoamini macho yao 💚💛
The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March 2024.
The draw will be conducted in Cairo, Egypt starting with CAF Confederation Cup at 14h00 Cairo time (12h00 GMT) and CAF Champions League at 15h00 Cairo time (13h00 GMT).
The teams that will participate in the Quarter-Finals of the TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup are known following the conclusion of the group stage over the weekend.
TotalEnergies CAF Champions League Quarter-Finals Qualified teams:
Al Ahly (Egypt), ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire), Mamelodi Sundowns (South Africa), Atletico Petroleos (Angola), TP Mazembe (DR Congo), Simba SC (Tanzania), Esperance Sportive de Tunis (Tunisia), Young Africans (Tanzania).
TotalEnergies CAF Confederation Cup Quarter-Finals Qualified teams:
USM Alger (Algeria), Zamalek (Egypt), Dreams FC (Ghana), RS Berkane (Morocco), Modern Future (Egypt), Abu Salem (Libya), Rivers United (Nigeria), Stade Malien (Mali).
What are your thoughts/Predictions?
Stay tuned for more info!
View attachment 2932731
Nakukumbusha hakuna mchezaji aina ya Pacome na Azizi huko masandawanaNiwakumbushe tuu wasandawana hawnaa cha nyumbani wala ugenini...
Acha ujingaMlidhani mtapangiwa wakala wenu Asec eeh..
Acha ujinga
Ni kweli jamaa wamechukia hamuwezi mkazifunga timu za cuf goli kumi bongo. Simba ashinde 6 Yanga ashinde 4 hiyo ni dharau kubwa(kishabiki) nimegundua CAF hawajapenda tulivyoingiza timu 2 robo fainali! Wanatuhujumu wazi wazi!
Kisoka & biashara : wamepanga safi kabisa mana hizo timu 4 zitakua ni mechi zenye mvuto namashabiki wengi sana! Ni kama derby ya mabingwa!
kisoka tumekua mpaka tunaonekana tunawezana nao hao majamaa
nusu fainali ipo kamati ya majini tunaiaminia au nasema uwongo ndugu zangu?
Unafaa kuwa mke hata siku ukimfuma mumeo you will take simpleHahahaha Temper Yangu iko chini sana hata ishu iwe siriaz vipi huwa sipanic kihivo
Umenikumbusha tukio fulani kazini siku hio tumewekwa Chini ya ulinzi usalama kama wote 🤠
Usalama Mmoja ananiuliza mbona wewe unachukulia simpo sana hata huogopi huku wengine wameshatetemeka wanasweat balaa 😂
Cc Smart911
Hii ipo kila mwanadamu outomatic huwa anakuwa na kichaa kwa mudaNatabiri Yanga na Simba watacheza fainali! Kwa hiyo kombe ni mali ya Tanzania safari hii!