Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Niliona leo asubuhi tu micky jnr kapost kama ilivyo hii draw halafu akaandika draw test. Naagalia post ile nakuta amefuta. Nimejiuliza maswali
Yaani ilipangwa kabisa kitambo ,toka zilivyomaliza. Ile saa 10 ilikuwa akadablakadabla tu kutuzuga. Lakini siku nyingi walishaziset. Hawajafurahishwa kabisa timu 2 tena za bongo kukavu zipite. Vinginevyo yale mapot ilitakiwa yawe mawili tu
 
Mpango wa kuziua timu za Tanzania
Tanzania wazungu wakija kuwekeza tunaibiwa rasilimali, tukitembelewa na wageni, wamekuja kutunyonya, tukivuka robo fainali tukapangiwa na timu bora basi wana mpango wa kuziua timu. Basi tusifanye lolote tujifungie wenyewe.
 
Mambo ya kupangwa kwa droo wala sio hoja kabisa, kikubwa kukaza,, kwa wachezaji ndio fursa sasa,, kila mchezaji anayepambania ndoto ya kufika mbali hichi ndio kipimo sahihi.
Ni sahihi kukaza. Wote ni size moja. Lakini kwa nini wazuge kama kuna jackpot wakati tayari walishapitisha kitambo?. Si wangesema tu kwa uwazi tu trip hii tunafanya huyu na huyu. Huu ujanja ujanja wa nini?
 
Yaani ilipangwa kabisa kitambo ,toka zilivyomaliza. Ile saa 10 ilikuwa akadablakadabla tu kutuzuga. Lakini siku nyingi walishaziset. Hawajafurahishwa kabisa timu 2 tena za bongo kukavu zipite. Vinginevyo yale mapot ilitakiwa yawe mawili tu
Ujinga ujinga tu. Tuache haya mawazo ni ya kijinga twendeni uwanjani, haiwezekani kila kitu tuwe sisi ndo hatutakiwi sijui wa kuonewa mara kuhujumiwa.
 
Tumepata Mamelodi hii kwetu ni bahati kubwa sanaaa!

Dunia inaenda kupatwa na mshangao jinsi Mamelodi watakavyofungasha vilago vyao robo fainal.😂

Daima Mbeleeee💛💚
Hawatoaminii,acha wachonge ngenga
 
Ila sijui kwa nini Uto wote wamepanic baada ya kusikia mpinzani wao ni Mamelodi.

Heri yako wewe ambaye hujapanic 😂
Nani kapaniki? Hii tuliomba na tunataka mtueleze mapema kama Mamelody kashuka kiwango au bado yupo moto tusije tukamtoa mkasema mbovu
 
Tena ule ukuta wao una matundu kabisa,, kitu nachokiona watu wanahofia bure,, watu wa mpira tunataka mbungi kama hizo
Kiukweli kabisa Mimi kama Mwanachama wa Yanga nilikuwa naombea sana tupangwe na hawa watu ili tuonyeshe Dunia jinsi Yanga na Soka zima la Tanzania lilivyokua. Nina uhakika hawa Mamelody tunawamudu nje na ndani ya uwanja,iwe hapa au kwao.
 
Back
Top Bottom