Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Nilichonote hiki kitu droo ilipangwa hata kabla ya haijachezeshwa. Kwa CAF kupita timu mbili za East Africa tena zote Tanzania wasio wafadhiri. Hizo nafasi zinawafurahisha zikipita timu za kiarabu. Droo hakuna kuchezesha wala walipanga tu YANGA na Simba zikutane na timu kubwa za juu. Hivyo.
Pili nimeona mashabiki wa mikia wamefurahia sana sana YANGA kupangwa na Mamelod. Hawafikirii wao kupangwa na kigogo Al Ahly kwamba wanatolewa. Furaha yao kubwa ni kuona YANGA pia inaweza kutolewa.
Nionavyo kwa YANGA kupangwa na Mamelod ni bora tu ksbb hata maandalizi yake yatakuwa makubwa. Kwa mpira wa YANGA lolote linaweza kutokea. Tusubiri dakika 90