Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Ni vyema Kwa watu wa Simba ili hii robo tunayoitwa MwakaRobo na wao waione ilivyo ngumu kutoboa nusu.
Dua la kuku halimpati mwewe,mwaka jana tuliwafundisha jinsi ya kuvuka na kufika final Shirukisho,mwaka huu pia tutawafundisha jinsi ya kufika nusu na final Champions League.
 
mtueleze mapema kama Mamelody kashuka kiwango au bado yupo moto
Follow channel yao kule whatsapp utajua kila kitu.

Japo 🐸 🐸hamna channel yenu ya whatsapp Ila wewe huwezi kuwa 🐸mbumbumbu kwa kushindwa kufollow channel ya hao jamaa na kujua mengi yawahuslyo.
 
Dua la kuku halimpati mwewe,mwaka jana tuliwafundisha jinsi ya kuvuka na kufika final Shirukisho,mwaka huu pia tutawafundisha jinsi ya kufika nusu na final Champions League.
Mbona hamkutufundisha namna ya kurudi na kombe!?
 
Kile kisemaji cha Utopolo sijui kitakuja na tambo zipi? Kilikuwa kimeshajipangia kucheza na Asec.
 
Ni sawa ni Ujinga kwa wewe mjinga,unaishia akili yako ilipoishia,lakini kwa waerevu hiki kitu kinafikirisha.
Hakuna aliekataa kwenda uwanjani na ball litapigwa vizuri tu
Hakuna werevu wowote kwenye assumption na hisia zisizokuwa na uthibitisho.
 
Back
Top Bottom